Zanzibar 2020 ACT-Wazalendo: Taarifa ya njama na mipango ovu ya tume ya uchaguzi (ZEC) wakishirikiana na Chama cha Mapinduzi CCM

Zanzibar 2020 ACT-Wazalendo: Taarifa ya njama na mipango ovu ya tume ya uchaguzi (ZEC) wakishirikiana na Chama cha Mapinduzi CCM

Vigezo vikubwa ni
1 uraia
2 umri
3 kujua kusoma nakuandika
4 kuwahi kufanya makosa
Vilivyobaki niupuuzi mtupu hata hao waicho chama wanaojifanya waondio mafundi wa kujaza form naowanakosea lakini hakuna wa kumfunga paka kengere tupaze sauti wananchi nchi hii sio yachama fulani niyetu wote naamani niyasisi wote tuilinde
Hahaha number 4 haimuhusu Deo Mwanyika nadhani au makosa yanakuwa makosa ukiwa nje ya ccm?!
 
Nadhani uthibitisho utasaidia zaidi jamii kujua na wahusika kujiona mipango yao ipo naked.
ikiwa naked itasaisia nini.Mara ngapi imekuwa hivyo na wanaendelea na yao kama hawakusikia.wanaoongoza matendo hayo ni wale waliotarajiwa kuwa watetezi.MAPOLISI NA MAJAJI
 
Yaani taarifa za aina hiyo mnazipata nyie tu.
kama ilivyo CCM wanajaza fomu vizuri wao tu halafu wapinzani wao tu ndo wanakosea ,aisee CCM wamejaa mashetani kutoka ngazi ya juu hadi chini
 
Back
Top Bottom