Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
ππππKumbe aliyeruka sarakasi nae kakatwaπ da Fisiem kweli mashetwani
Kwenye madaraka ccm haina mswalie mtumeHawa na CCM ni ndugu wa damu
TunasubiriWalidai watalinda kura. Ngoja tuone.
Inaitwa learning it the hard way.Linapokuja swala la Uchaguzi CCM haina Mswalie Mtume, iko Tayari hata kuua (Mifano ni Mingi mno)
Ni vigumu sana kuingia kwenye Uchaguzi nchini Tanzania kwa sheria na Taratibu zilizopo, kila kiongozi anabeba CCM tena kwa mbeleko ya Chuma.
Matiko alihamia ccm 2022 lakini wakati huohuo akitambulishwa kama mbunge wa viti maalum wa Chadema, huyu sasa ni Mgombea Ubunge wa CCM Tarime Mjini, Haya yote Mutungi anayajua.
Sasa Next Week Othman Masoud anazuiliwa kugombea Urais Zanzibar na hamna cha kufanya, Tulipowaonya mkapuuza kwa kejeli, sasa msitupigie kelele
View attachment 3454108
Ujumbe: SHETANI HANA RAFIKI
Ushauri wa kuungana umeutoa wapi?Vijana wa Chadema wanamatatizo ya afya ya akili. Mpaka asubuhi ya leo ACT mulikua munawaita CCM b mara project ya CCM. Halfla jioni hii mumeanza kuwashauri waungane na nyinyi
https://www.facebook.com/Linapokuja swala la Uchaguzi CCM haina Mswalie Mtume, iko Tayari hata kuua (Mifano ni Mingi mno)
Ni vigumu sana kuingia kwenye Uchaguzi nchini Tanzania kwa sheria na Taratibu zilizopo, kila kiongozi anabeba CCM tena kwa mbeleko ya Chuma.
Matiko alihamia ccm 2022 lakini wakati huohuo akitambulishwa kama mbunge wa viti maalum wa Chadema, huyu sasa ni Mgombea Ubunge wa CCM Tarime Mjini, Haya yote Mutungi anayajua.
Sasa Next Week Othman Masoud anazuiliwa kugombea Urais Zanzibar na hamna cha kufanya, Tulipowaonya mkapuuza kwa kejeli, sasa msitupigie kelele
View attachment 3454108
Ujumbe: SHETANI HANA RAFIKI
ππππNdio maana hawafungui madomo Yao. Wako kimya Kama hakuna kilichotokea. Zitto ni mwanamtandaaoo. Anacheekaaa. Anasubiri 2030 apate maelekezo mengine.
Ni mwili mmoja.Hawa na CCM ni ndugu wa damu