Linapokuja swala la Uchaguzi CCM haina Mswalie Mtume, iko Tayari hata kuua (Mifano ni Mingi mno)
Ni vigumu sana kuingia kwenye Uchaguzi nchini Tanzania kwa sheria na Taratibu zilizopo, kila kiongozi anabeba CCM tena kwa mbeleko ya Chuma.
Matiko alihamia ccm 2022 lakini wakati huohuo akitambulishwa kama mbunge wa viti maalum wa Chadema, huyu sasa ni Mgombea Ubunge wa CCM Tarime Mjini, Haya yote Mutungi anayajua.
Sasa Next Week Othman Masoud anazuiliwa kugombea Urais Zanzibar na hamna cha kufanya,
Tulipowaonya mkapuuza kwa kejeli, sasa msitupigie kelele
View attachment 3454108
Ujumbe: SHETANI HANA RAFIKI