4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Kazi ya zitto iyoLinapokuja swala la Uchaguzi CCM haina Mswalie Mtume, iko Tayari hata kuua (Mifano ni Mingi mno)
Ni vigumu sana kuingia kwenye Uchaguzi nchini Tanzania kwa sheria na Taratibu zilizopo, kila kiongozi anabeba CCM tena kwa mbeleko ya Chuma.
Matiko alihamia ccm 2022 lakini wakati huohuo akitambulishwa kama mbunge wa viti maalum wa Chadema, huyu sasa ni Mgombea Ubunge wa CCM Tarime Mjini, Haya yote Mutungi anayajua.
Sasa Next Week Othman Masoud anazuiliwa kugombea Urais Zanzibar na hamna cha kufanya, Tulipowaonya mkapuuza kwa kejeli, sasa msitupigie kelele
View attachment 3454108
Ujumbe: SHETANI HANA RAFIKI
Ukitaka kujua rangi zao halisi ndo hapo. Ndo mana tunasema ili hii nchi ipate maendeleo lazima tufanye reformsKwenye madaraka ccm haina mswalie mtume
Linapokuja swala la Uchaguzi CCM haina Mswalie Mtume, iko Tayari hata kuua (Mifano ni Mingi mno)
Ni vigumu sana kuingia kwenye Uchaguzi nchini Tanzania kwa sheria na Taratibu zilizopo, kila kiongozi anabeba CCM tena kwa mbeleko ya Chuma.
Matiko alihamia ccm 2022 lakini wakati huohuo akitambulishwa kama mbunge wa viti maalum wa Chadema, huyu sasa ni Mgombea Ubunge wa CCM Tarime Mjini, Haya yote Mutungi anayajua.
Sasa Next Week Othman Masoud anazuiliwa kugombea Urais Zanzibar na hamna cha kufanya, Tulipowaonya mkapuuza kwa kejeli, sasa msitupigie kelele
View attachment 3454108
Ujumbe: SHETANI HANA RAFIKI
Hakuna nisichokijua Mkuu, hizi nyuzi tunaziweka hapa kimkakatiNilifikiri unajua siasa za Tanzania.
Ni hivi Zitto hajawahi kuwa mpinzani hata siku moja.
Mpina ni mjinga sana afadhali angetimkia NLD kuliko ACT.
👍Hakuna nisichokijua Mkuu, hizi nyuzi tunaziweka hapa kimkakati
Ukitaka kujua rangi zao halisi ndo hapo. Ndo mana tunasema ili hii nchi ipate maendeleo lazima tufanye reforms