FAHAD KING
JF-Expert Member
- Sep 14, 2017
- 301
- 375
Habari wakuu,
Nakumbuka niliwahi kutoa UZI mwezi Mei kuhusu kuonya wanachama wa ACT Wazalendo kuwa wasifanye makosa kama walivyofanya CHADEMA mwaka 2015 kwa Lowassa. Leo si mbaya kuwakumbusha kuwa wakati mnafanya uchaguzi wa kumchagua Bernard Membe kuwania kiti cha Urais mwaka huu 2020 ni kosa kubwa kama ambavyo CHADEMA walifanya kwa LOWASSA.
Nimeona barua ya MEMBE kujiondoa kuwania kiti cha Urais kwasababu anazozijua yeye mwenyewe. Huku akileta shinikizo wa wanachama wa ACT Wazalendo kuandika barua ya kutowatambua viongozi wao wakubwa akina ZITTO na MAALIM SEIF kama sio wanachama wa ACT kisa wanamuunga mkono LISSU.
Tutashuhudia Mvurugano ndani ya ACT Wazalendo. Tusubirini