ACT Wazalendo tuliwaonya mapema ujio wa Bernard Membe

ACT Wazalendo tuliwaonya mapema ujio wa Bernard Membe

Upinzania wa Tanzania ni sehemu ya viumbe wasio shaurika duniani.
Upinzani wa Tanzania ni sehemu ya viumbe ambao leo wataitana wasaliti,kesho watapana,kesho kutwa watagombana.

Upinzania wa Tanzania ni sehemu ya wanasiasa ambao sasa dira ya kulichukua taifa imetoweka wamebaki na mbinu yeyote mradi washike dola na wamesahau taifa haliendi na mbinu yeyote bali linapatikana kwa njia moja yenye uhakika na iliyopangiliwa.

Upinzani wa Tanzania haujawahi kushaurika.
 
Back
Top Bottom