Act Wazalendo Tumieni Njia Hii Kupata Uungwaji mkono kutoka kwa Wananchi

Joshua Mbezi

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2024
Posts
1,994
Reaction score
4,446
Act wazalendo kubalini kuwa kwenye nafasi ya Urais mmepoteza ila Tumieni rasilimali watu mliyonayo ili kupata Uungwaji Mkono Kutoka Kwa Wananchi kwa kufanya yafuatayo

1: Achaneni na hoja ya kwenda mahakaman maana mnapoteza muda na hamtapata haki yoyote Ile

2: Viongozi wote wakuu mlionao wagawane kwenye Kanda zote za nchi ili kwenda kuvuta umakini wa wananchi

3: Viongozi hao wasaidie katika kutafuta kura kwa ajiri ya wabunge na madiwani
Maana kwa kufanya hivi itawasaidia kujenga viongozi wenu ili siku nyingne msiwe wa kusubiri makombo ya CCM
4; Epukeni kupambana na CDM ambayo ilishajitenga na maigizo ya Ccm na dola
5: Wekezeni nguvu zaidi ya kukipeleka chama chenu maeneo ambayo bado hakijulikani

Muda ni sasa wa kupanda ili uje kuvuna kesho
 
Mtu unaakili timamu, uache kuipigia kura sisiem A ukaipigie kura sisiemu B?
 
Kama unakumbuka neno ACT ni kionjo cha viungo vikubwa vya kutengeneza mvinyo wa pombe.
Nilishangaa kusikia hipo CCM
IMG_2350.jpeg
 
Act wazalendo kubalini kuwa kwenye nafasi ya Urais mmepoteza ila Tumieni rasilimali watu mliyonayo ili kupata Uungwaji Mkono Kutoka Kwa Wananchi kwa kufanya yafuatayo

1: Achaneni na hoja ya kwenda mahakaman maana mnapoteza muda na hamtapata haki yoyote Ile

2: Viongozi wote wakuu mlionao wagawane kwenye Kanda zote za nchi ili kwenda kuvuta umakini wa wananchi

3: Viongozi hao wasaidie katika kutafuta kura kwa ajiri ya wabunge na madiwani
Maana kwa kufanya hivi itawasaidia kujenga viongozi wenu ili siku nyingne msiwe wa kusubiri makombo ya CCM
4; Epukeni kupambana na CDM ambayo ilishajitenga na maigizo ya Ccm na dola
5: Wekezeni nguvu zaidi ya kukipeleka chama chenu maeneo ambayo bado hakijulikani

Muda ni sasa wa kupanda ili uje kuvuna kesho
UANITHI WA AKILI NDIYO HUU WA MLETA UZI
 
Back
Top Bottom