ACT Wazalendo: Tunalaani vikali kitendo cha Jeshi la Polisi kuvamia na kuzuia Kikao cha Kamati Kuu ya NCCR Mageuzi

Jiiteni Alliance of fools!! Mnapaswa kudai Katiba mpya ili kuondoa vijilalamiko na vijimadai viiiingi.
huwezi ishi kajumba kaudongo alafu unalalamika hujaekewa tiles, bati yamsauzi etc.
Use your brains for at least 20% lasivyo tutajiuliza mnataka nyadhifa ili mpate mishahara na ving'ora ama nini??
 
No research no right to speak! Produce evidence or shut your mandibles; Nyau we!
 
Wewe ni mpuuzi sana na hujui maana ya siasa! ACT Wazalendo wanajua sana siasa japo sizipendi kabisa sera zao.CHADEMA inayo itikadi nzuri sana lakini imejawa viongozi na mashabiki wajinga wajinga kama wewe ndo maana haipati mafanikio makubwa wala kutegemewa kukamata dola hivi karibuni!
Laiti CHADEMA ingekuwa na viongozi wanaojua game of politics CHADEMA ingekuwa juu sana!
Endeleeni kucheza nafasi ya victim always ,kila mtu ni kumtuhumu Mara CCM B ,mara mamluki ! Zitto Kabwe anajua sana siasa na ataendelea kuipoteza sana CHADEMA!
 
Mkuu, ACT wamelaani kitendo hicho cha polisi....vipi wewe unakilaani au unakipongeza?! Wakati mwingine unapowafukuza tumbili na akatokea unayemchukulia kuwa ni adui yako na akakomaa kuwafukuza pia, ni bora wewe kukomaa na lengo lako la kuwafukuza badala ya kuanza kuzozana na 'huyo adui' yako!
 
Eneo la kusambaratisha wapinzani wapo vizuri sana hawa jamaa
 
Huyu mzanzibar hana uchungu na Tanganyika.
 
Ni kweli waliuawa lakini kiongozi wao mkuu wa chama usiku anakuwa CCM kwa maslahi yake binafsi na hili wanachama wengi wa ACT wazalendo wala hawalijui.

Huwa anatumika na maCCM kukiuza chama.Ni msaliti namba moja wa ACT wazalendo.
Acha siasa za kijinga za kugawanya upinzani, pevuka
 
Acha siasa za kugawanya , usijimilikisha upinzani
 
umoja ni nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…