ACT- Wazalendo: Tunalani uvamizi dhidi ya Wamachinga na kubomolewa vibanda vyao eneo la Mbagala Rangitatu

mnalaani vitu ambavyo hata hamuelewi,

ACT saivi mnaandamwa na pepo la ujuaji wa hovyo sana siku hizi :pulpTRAVOLTA:
Kwani wamachinga wenyewe wamelalamika hao si wameipigia kura ccm
Nasemaje Acha wabomolewe
Tusafishe jiji

Ova
 
TAARIFA KWA UMMA
Tunalani Uvamizi dhidi ya Wamachinga na Kubomolewa Vibanda vyao eneo la Mbagala Rangitatu

ACT Wazalendo tunasikitishwa na kulaani vikali tukio la kubomolewa kwa vibanda na kuporwa bidhaa za wafanyabiashara wadogo eneo la Mbagala Rangitatu, Temeke Dar es Salaam usiku wa kuamkia jana, Novemba 2, 2024. Kitendo hiki kimewaacha zaidi ya wafanyabiashara 200 na hasara kubwa na kuwaweka kwenye hatari ya kutumbukia katika hali ya umaskini.

Ni jambo la kusikitisha kwamba tukio hili limefanyika kwa maagizo ya Halmashauri ya Manispaa ya Temeke bila kuwashirikisha Wafanyabiashara hao wala kutoa notisi ya kutosha. Hii ni kinyume na haki za binadamu, utu wa wafanyabiashara wadogo na misingi ya utawala bora.

Tukio hili dhidi ya wamachinga wa Mbagala ni mwendelezo wa madhila wanayokutana nayo wamachinga nchini ikiwemo kubomolewa, kuvamiwa na kuporwa mali zao na Halmashauri kuvamiwa (kuondolewa kwa nguvu) usiku wa manane ili kuwaacha wakididimia kwenye ufukara.

Wafanyabiashara wadogo ni uti wa mgongo wa uchumi wa mijini katika nchi yetu. Wanapasa kuheshimiwa na kusaidiwa badala ya kufanyiwa vitendo vya ukatili vinavyowadidimiza kiuchumi na kijamii.

ACT Wazalendo tunapinga kwa nguvu zote vitendo vya uvamizi na bomoa bomoa vya mara kwa mara vinavyofanywa na Serikali dhidi ya Wamachinga. Tunaitaka Serikali kuchukua hatua zifuatazo mara moja:

i. Tunaitaka Serikali iwalipe fidia wafanyabiashara wote walioathiriwa na unyama huu wa kuharibiwa biashara na kupoteza mitaji yao.

ii. Tunaitaka Serikali kuhakikisha wanapatiwa wafanyabishara hawa maeneo yao ya biashara ili waendelee kufanya kazi zao.

iii. Tunaitaka wizara za Uwekezaji pamoja na Viwanda na Biashara kushughulikia masuala yanayohusu ustawi wa wafanyabiashara wadogo kwani nao wanahitaji mazingira mazuri ya kufanya biashara zao hapa nchini.

iv. Serikali iwachukulie hatua za kisheria na kinidhamu wale wote waliohusika katika tukio hili ili kuhakikisha haki inatendeka na matukio kama haya hayajirudii

ACT Wazalendo tutaendelea kuwa upande wa wananchi, kupaza sauti dhidi ya dhuluma na kuhakikisha kwamba haki inatendeka kwa kila Mtanzania. Tunawasihi wafanyabiashara waendelee kusimama imara kudai haki zao.​

Imetolewa na;
Ndg. Mwanaisha Zuberi Mndeme Waziri Kivuli wa Viwanda na Biashara
ACT Wazalendo.
03 Desemba, 2024
View attachment 3168078
View attachment 3168079
Kulaani ndo nini?
 
Kwani wamachinga wenyewe wamelalamika hao si wameipigia kura ccm
Nasemaje Acha wabomolewe
Tusafishe jiji

Ova
mrangi
binafsi naifahamu mbagala vizuri kidogo,

tena naifahamu ikiwa wazi bila wafanyabiashara pembezoni na ikiwa na hao wafanyibiashara pembezoni dhidi ya usalama wao na uharibifu wa miundombinu

so,
ACT ni completely useless na nonsense kabisa katika jambo hili:pulpTRAVOLTA:
 
Hivi ulishawahi kupita kujionea hali ya mbagala hasa nyakati za jioni? Boda boda ni nyingi, watu wengi, magari mengi in short movements ni nyingi wafanyabiashara wapo “ndani” ya barabara kabisa sio pembeni ( reserve road) hii ni hatari na si jambo la kufumbia macho.
Kuwatoa hapo ilihitajika kuweka njia mbadala, sio kuiacha njia moja hiyo hiyo ya kuendea kusini(kilwa rd), ikitokea road block basi maeasiliano na kusini hayapo. Mbagala itakuja kuwa kama Kariakoo hivi punde kinachozuia ni ubudifu duni wa network za barabara maeneo yale amini usiamini.
 
mrangi
binafsi naifahamu mbagala vizuri kidogo,

tena naifahamu ikiwa wazi bila wafanyabiashara pembezoni na ikiwa na hao wafanyibiashara pembezoni dhidi ya usalama wao na uharibifu wa miundombinu

so,
ACT ni completely useless na nonsense kabisa katika jambo hili:pulpTRAVOLTA:
kwanini kusiwe na uboreshaji wa network za barabara na kutakachofanya wasijazane kwenye hiyo main road kilwa rd iliotelekezwa kuunganisha kusini kwa single road katika karne hii ya miundombinu.

Katika Njia kuu zote ziingiazo Dar, hii imetelekezwa sana na serikali ya chama chako.
Haya tetea hoja hii !!!
 
Kuwatoa hapo ilihitajika kuweka njia mbadala, sio kuiacha njia moja hiyo hiyo ya kuendea kusini(kilwa rd), ikitokea road block basi maeasiliano na kusini hayapo. Mbagala itakuja kuwa kama Kariakoo hivi punde kinachozuia ni ubudifu duni wa network za barabara maeneo yale amini usiamini.
Nani aliwaleta?
 
Hapo Rangi 3 kero sana.
TAARIFA KWA UMMA
Tunalani Uvamizi dhidi ya Wamachinga na Kubomolewa Vibanda vyao eneo la Mbagala Rangitatu

ACT Wazalendo tunasikitishwa na kulaani vikali tukio la kubomolewa kwa vibanda na kuporwa bidhaa za wafanyabiashara wadogo eneo la Mbagala Rangitatu, Temeke Dar es Salaam usiku wa kuamkia jana, Novemba 2, 2024. Kitendo hiki kimewaacha zaidi ya wafanyabiashara 200 na hasara kubwa na kuwaweka kwenye hatari ya kutumbukia katika hali ya umaskini.

Ni jambo la kusikitisha kwamba tukio hili limefanyika kwa maagizo ya Halmashauri ya Manispaa ya Temeke bila kuwashirikisha Wafanyabiashara hao wala kutoa notisi ya kutosha. Hii ni kinyume na haki za binadamu, utu wa wafanyabiashara wadogo na misingi ya utawala bora.

Tukio hili dhidi ya wamachinga wa Mbagala ni mwendelezo wa madhila wanayokutana nayo wamachinga nchini ikiwemo kubomolewa, kuvamiwa na kuporwa mali zao na Halmashauri kuvamiwa (kuondolewa kwa nguvu) usiku wa manane ili kuwaacha wakididimia kwenye ufukara.

Wafanyabiashara wadogo ni uti wa mgongo wa uchumi wa mijini katika nchi yetu. Wanapasa kuheshimiwa na kusaidiwa badala ya kufanyiwa vitendo vya ukatili vinavyowadidimiza kiuchumi na kijamii.

ACT Wazalendo tunapinga kwa nguvu zote vitendo vya uvamizi na bomoa bomoa vya mara kwa mara vinavyofanywa na Serikali dhidi ya Wamachinga. Tunaitaka Serikali kuchukua hatua zifuatazo mara moja:

i. Tunaitaka Serikali iwalipe fidia wafanyabiashara wote walioathiriwa na unyama huu wa kuharibiwa biashara na kupoteza mitaji yao.

ii. Tunaitaka Serikali kuhakikisha wanapatiwa wafanyabishara hawa maeneo yao ya biashara ili waendelee kufanya kazi zao.

iii. Tunaitaka wizara za Uwekezaji pamoja na Viwanda na Biashara kushughulikia masuala yanayohusu ustawi wa wafanyabiashara wadogo kwani nao wanahitaji mazingira mazuri ya kufanya biashara zao hapa nchini.

iv. Serikali iwachukulie hatua za kisheria na kinidhamu wale wote waliohusika katika tukio hili ili kuhakikisha haki inatendeka na matukio kama haya hayajirudii

ACT Wazalendo tutaendelea kuwa upande wa wananchi, kupaza sauti dhidi ya dhuluma na kuhakikisha kwamba haki inatendeka kwa kila Mtanzania. Tunawasihi wafanyabiashara waendelee kusimama imara kudai haki zao.​

Imetolewa na;
Ndg. Mwanaisha Zuberi Mndeme Waziri Kivuli wa Viwanda na Biashara
ACT Wazalendo.
03 Desemba, 2024
View attachment 3168078
View attachment 3168079
Hongera ACT wazalendo,wale wazee wa vidole viwili walivyojenga ofisi na akili zao zikaisha.
 
Wamefilisiwa wengi sana ila kwa kuwa ni machinga, nyumbu hawatapiga kelele.

Ukisikia kelele za nyumbu ujue amefilisiwa kigogo mkubwa
Wewe huna akili kabisa. Ulishapita mbagala rangi tatu? Unajua risks zilizopo pale kwa hao unaowaita watu wa chini kama vile ni sifa kuitwa hivyo?
Unapowatetea wamachinga ukumbuke na watumiaji wengine wa barabara
Ziko wapi pesa za plea bargaining???
 
TAARIFA KWA UMMA
Tunalani Uvamizi dhidi ya Wamachinga na Kubomolewa Vibanda vyao eneo la Mbagala Rangitatu

ACT Wazalendo tunasikitishwa na kulaani vikali tukio la kubomolewa kwa vibanda na kuporwa bidhaa za wafanyabiashara wadogo eneo la Mbagala Rangitatu, Temeke Dar es Salaam usiku wa kuamkia jana, Novemba 2, 2024. Kitendo hiki kimewaacha zaidi ya wafanyabiashara 200 na hasara kubwa na kuwaweka kwenye hatari ya kutumbukia katika hali ya umaskini.

Ni jambo la kusikitisha kwamba tukio hili limefanyika kwa maagizo ya Halmashauri ya Manispaa ya Temeke bila kuwashirikisha Wafanyabiashara hao wala kutoa notisi ya kutosha. Hii ni kinyume na haki za binadamu, utu wa wafanyabiashara wadogo na misingi ya utawala bora.

Tukio hili dhidi ya wamachinga wa Mbagala ni mwendelezo wa madhila wanayokutana nayo wamachinga nchini ikiwemo kubomolewa, kuvamiwa na kuporwa mali zao na Halmashauri kuvamiwa (kuondolewa kwa nguvu) usiku wa manane ili kuwaacha wakididimia kwenye ufukara.

Wafanyabiashara wadogo ni uti wa mgongo wa uchumi wa mijini katika nchi yetu. Wanapasa kuheshimiwa na kusaidiwa badala ya kufanyiwa vitendo vya ukatili vinavyowadidimiza kiuchumi na kijamii.

ACT Wazalendo tunapinga kwa nguvu zote vitendo vya uvamizi na bomoa bomoa vya mara kwa mara vinavyofanywa na Serikali dhidi ya Wamachinga. Tunaitaka Serikali kuchukua hatua zifuatazo mara moja:

i. Tunaitaka Serikali iwalipe fidia wafanyabiashara wote walioathiriwa na unyama huu wa kuharibiwa biashara na kupoteza mitaji yao.

ii. Tunaitaka Serikali kuhakikisha wanapatiwa wafanyabishara hawa maeneo yao ya biashara ili waendelee kufanya kazi zao.

iii. Tunaitaka wizara za Uwekezaji pamoja na Viwanda na Biashara kushughulikia masuala yanayohusu ustawi wa wafanyabiashara wadogo kwani nao wanahitaji mazingira mazuri ya kufanya biashara zao hapa nchini.

iv. Serikali iwachukulie hatua za kisheria na kinidhamu wale wote waliohusika katika tukio hili ili kuhakikisha haki inatendeka na matukio kama haya hayajirudii

ACT Wazalendo tutaendelea kuwa upande wa wananchi, kupaza sauti dhidi ya dhuluma na kuhakikisha kwamba haki inatendeka kwa kila Mtanzania. Tunawasihi wafanyabiashara waendelee kusimama imara kudai haki zao.​

Imetolewa na;
Ndg. Mwanaisha Zuberi Mndeme Waziri Kivuli wa Viwanda na Biashara
ACT Wazalendo.
03 Desemba, 2024
View attachment 3168078
View attachment 3168079
Kwahiyo wenye maduka wanaolipa kodi zaidi ya nne duka moja waendelee kusota huku wamachinga wanafanya biashara mbele ya maduka yao, ingekuwa busara muitake serikali iondoe mtindo wa maduka ili kila mtu afanyebiashara bila kulipa kodi.
 
Hali ya mbagala ni mbaya hasa majira ya jion hata kupita unapita Kwa shida ukijitisa unajikuta umevamia biashara ya mtu,biashara had barabarani kabisa
 
Again hili tatizo ni la Mbagala rangi tatu au Tanzania nzima ? na kuendelea kuwa na wachuuzi Tanzania nzima (vijana nguvukazi) wabangaizaji ni afya kwa taifa la kesho ? Nadhani hapa inahitajika kuondoa root cause na sio kulea matatizo ambayo future yake inatisha...

Inabidi tuanze kuwa pro active na sio kuzima zima moto (tia maji tia maji) ili kuokoteleza Kura wakati tatizo lipo palepale
 
Ndiyo maana sometimes wanasiasa wanapigwa Kwa UJINGA.
Huwezi kutetea upumbavu unaofanyika mbagala Kama Una Akili timamu
 
Back
Top Bottom