Kwani wamachinga wenyewe wamelalamika hao si wameipigia kura ccmmnalaani vitu ambavyo hata hamuelewi,
ACT saivi mnaandamwa na pepo la ujuaji wa hovyo sana siku hizi
Itakua hujafika rangi tatu, barabara iwe barabara na meza ya biashara iwe meza ya biasharaWamezdi au siyo
Kulaani ndo nini?TAARIFA KWA UMMATunalani Uvamizi dhidi ya Wamachinga na Kubomolewa Vibanda vyao eneo la Mbagala Rangitatu
ACT Wazalendo tunasikitishwa na kulaani vikali tukio la kubomolewa kwa vibanda na kuporwa bidhaa za wafanyabiashara wadogo eneo la Mbagala Rangitatu, Temeke Dar es Salaam usiku wa kuamkia jana, Novemba 2, 2024. Kitendo hiki kimewaacha zaidi ya wafanyabiashara 200 na hasara kubwa na kuwaweka kwenye hatari ya kutumbukia katika hali ya umaskini.
Ni jambo la kusikitisha kwamba tukio hili limefanyika kwa maagizo ya Halmashauri ya Manispaa ya Temeke bila kuwashirikisha Wafanyabiashara hao wala kutoa notisi ya kutosha. Hii ni kinyume na haki za binadamu, utu wa wafanyabiashara wadogo na misingi ya utawala bora.
Tukio hili dhidi ya wamachinga wa Mbagala ni mwendelezo wa madhila wanayokutana nayo wamachinga nchini ikiwemo kubomolewa, kuvamiwa na kuporwa mali zao na Halmashauri kuvamiwa (kuondolewa kwa nguvu) usiku wa manane ili kuwaacha wakididimia kwenye ufukara.
Wafanyabiashara wadogo ni uti wa mgongo wa uchumi wa mijini katika nchi yetu. Wanapasa kuheshimiwa na kusaidiwa badala ya kufanyiwa vitendo vya ukatili vinavyowadidimiza kiuchumi na kijamii.
ACT Wazalendo tunapinga kwa nguvu zote vitendo vya uvamizi na bomoa bomoa vya mara kwa mara vinavyofanywa na Serikali dhidi ya Wamachinga. Tunaitaka Serikali kuchukua hatua zifuatazo mara moja:
i. Tunaitaka Serikali iwalipe fidia wafanyabiashara wote walioathiriwa na unyama huu wa kuharibiwa biashara na kupoteza mitaji yao.
ii. Tunaitaka Serikali kuhakikisha wanapatiwa wafanyabishara hawa maeneo yao ya biashara ili waendelee kufanya kazi zao.
iii. Tunaitaka wizara za Uwekezaji pamoja na Viwanda na Biashara kushughulikia masuala yanayohusu ustawi wa wafanyabiashara wadogo kwani nao wanahitaji mazingira mazuri ya kufanya biashara zao hapa nchini.
iv. Serikali iwachukulie hatua za kisheria na kinidhamu wale wote waliohusika katika tukio hili ili kuhakikisha haki inatendeka na matukio kama haya hayajirudii
ACT Wazalendo tutaendelea kuwa upande wa wananchi, kupaza sauti dhidi ya dhuluma na kuhakikisha kwamba haki inatendeka kwa kila Mtanzania. Tunawasihi wafanyabiashara waendelee kusimama imara kudai haki zao.
Imetolewa na;
Ndg. Mwanaisha Zuberi Mndeme Waziri Kivuli wa Viwanda na Biashara
ACT Wazalendo.
03 Desemba, 2024
View attachment 3168078
View attachment 3168079
mrangiKwani wamachinga wenyewe wamelalamika hao si wameipigia kura ccm
Nasemaje Acha wabomolewe
Tusafishe jiji
Ova
Kuwatoa hapo ilihitajika kuweka njia mbadala, sio kuiacha njia moja hiyo hiyo ya kuendea kusini(kilwa rd), ikitokea road block basi maeasiliano na kusini hayapo. Mbagala itakuja kuwa kama Kariakoo hivi punde kinachozuia ni ubudifu duni wa network za barabara maeneo yale amini usiamini.Hivi ulishawahi kupita kujionea hali ya mbagala hasa nyakati za jioni? Boda boda ni nyingi, watu wengi, magari mengi in short movements ni nyingi wafanyabiashara wapo “ndani” ya barabara kabisa sio pembeni ( reserve road) hii ni hatari na si jambo la kufumbia macho.
kwanini kusiwe na uboreshaji wa network za barabara na kutakachofanya wasijazane kwenye hiyo main road kilwa rd iliotelekezwa kuunganisha kusini kwa single road katika karne hii ya miundombinu.mrangi
binafsi naifahamu mbagala vizuri kidogo,
tena naifahamu ikiwa wazi bila wafanyabiashara pembezoni na ikiwa na hao wafanyibiashara pembezoni dhidi ya usalama wao na uharibifu wa miundombinu
so,
ACT ni completely useless na nonsense kabisa katika jambo hili
Kwa kweli rangi 3 wamezidiSehemu za kufanyia biashara zipo na masoko yapo. Tujenge Taifa la kufata utaratibu na sio kusubiri kuonewa huruma. Maeneo hayo kwanza ni hatari hili hamlioni?
Nani aliwaleta?Kuwatoa hapo ilihitajika kuweka njia mbadala, sio kuiacha njia moja hiyo hiyo ya kuendea kusini(kilwa rd), ikitokea road block basi maeasiliano na kusini hayapo. Mbagala itakuja kuwa kama Kariakoo hivi punde kinachozuia ni ubudifu duni wa network za barabara maeneo yale amini usiamini.
uchumi mbovu na poor stategy za maendeleo za ccmNani aliwaleta?
Hapo Rangi 3 kero sana.
Hongera ACT wazalendo,wale wazee wa vidole viwili walivyojenga ofisi na akili zao zikaisha.TAARIFA KWA UMMATunalani Uvamizi dhidi ya Wamachinga na Kubomolewa Vibanda vyao eneo la Mbagala Rangitatu
ACT Wazalendo tunasikitishwa na kulaani vikali tukio la kubomolewa kwa vibanda na kuporwa bidhaa za wafanyabiashara wadogo eneo la Mbagala Rangitatu, Temeke Dar es Salaam usiku wa kuamkia jana, Novemba 2, 2024. Kitendo hiki kimewaacha zaidi ya wafanyabiashara 200 na hasara kubwa na kuwaweka kwenye hatari ya kutumbukia katika hali ya umaskini.
Ni jambo la kusikitisha kwamba tukio hili limefanyika kwa maagizo ya Halmashauri ya Manispaa ya Temeke bila kuwashirikisha Wafanyabiashara hao wala kutoa notisi ya kutosha. Hii ni kinyume na haki za binadamu, utu wa wafanyabiashara wadogo na misingi ya utawala bora.
Tukio hili dhidi ya wamachinga wa Mbagala ni mwendelezo wa madhila wanayokutana nayo wamachinga nchini ikiwemo kubomolewa, kuvamiwa na kuporwa mali zao na Halmashauri kuvamiwa (kuondolewa kwa nguvu) usiku wa manane ili kuwaacha wakididimia kwenye ufukara.
Wafanyabiashara wadogo ni uti wa mgongo wa uchumi wa mijini katika nchi yetu. Wanapasa kuheshimiwa na kusaidiwa badala ya kufanyiwa vitendo vya ukatili vinavyowadidimiza kiuchumi na kijamii.
ACT Wazalendo tunapinga kwa nguvu zote vitendo vya uvamizi na bomoa bomoa vya mara kwa mara vinavyofanywa na Serikali dhidi ya Wamachinga. Tunaitaka Serikali kuchukua hatua zifuatazo mara moja:
i. Tunaitaka Serikali iwalipe fidia wafanyabiashara wote walioathiriwa na unyama huu wa kuharibiwa biashara na kupoteza mitaji yao.
ii. Tunaitaka Serikali kuhakikisha wanapatiwa wafanyabishara hawa maeneo yao ya biashara ili waendelee kufanya kazi zao.
iii. Tunaitaka wizara za Uwekezaji pamoja na Viwanda na Biashara kushughulikia masuala yanayohusu ustawi wa wafanyabiashara wadogo kwani nao wanahitaji mazingira mazuri ya kufanya biashara zao hapa nchini.
iv. Serikali iwachukulie hatua za kisheria na kinidhamu wale wote waliohusika katika tukio hili ili kuhakikisha haki inatendeka na matukio kama haya hayajirudii
ACT Wazalendo tutaendelea kuwa upande wa wananchi, kupaza sauti dhidi ya dhuluma na kuhakikisha kwamba haki inatendeka kwa kila Mtanzania. Tunawasihi wafanyabiashara waendelee kusimama imara kudai haki zao.
Imetolewa na;
Ndg. Mwanaisha Zuberi Mndeme Waziri Kivuli wa Viwanda na Biashara
ACT Wazalendo.
03 Desemba, 2024
View attachment 3168078
View attachment 3168079
John turushie picha za tukio iwapo unazoNovember 2? 🐼
Wewe huna akili kabisa. Ulishapita mbagala rangi tatu? Unajua risks zilizopo pale kwa hao unaowaita watu wa chini kama vile ni sifa kuitwa hivyo?Wamefilisiwa wengi sana ila kwa kuwa ni machinga, nyumbu hawatapiga kelele.
Ukisikia kelele za nyumbu ujue amefilisiwa kigogo mkubwa
Kwahiyo wenye maduka wanaolipa kodi zaidi ya nne duka moja waendelee kusota huku wamachinga wanafanya biashara mbele ya maduka yao, ingekuwa busara muitake serikali iondoe mtindo wa maduka ili kila mtu afanyebiashara bila kulipa kodi.TAARIFA KWA UMMATunalani Uvamizi dhidi ya Wamachinga na Kubomolewa Vibanda vyao eneo la Mbagala Rangitatu
ACT Wazalendo tunasikitishwa na kulaani vikali tukio la kubomolewa kwa vibanda na kuporwa bidhaa za wafanyabiashara wadogo eneo la Mbagala Rangitatu, Temeke Dar es Salaam usiku wa kuamkia jana, Novemba 2, 2024. Kitendo hiki kimewaacha zaidi ya wafanyabiashara 200 na hasara kubwa na kuwaweka kwenye hatari ya kutumbukia katika hali ya umaskini.
Ni jambo la kusikitisha kwamba tukio hili limefanyika kwa maagizo ya Halmashauri ya Manispaa ya Temeke bila kuwashirikisha Wafanyabiashara hao wala kutoa notisi ya kutosha. Hii ni kinyume na haki za binadamu, utu wa wafanyabiashara wadogo na misingi ya utawala bora.
Tukio hili dhidi ya wamachinga wa Mbagala ni mwendelezo wa madhila wanayokutana nayo wamachinga nchini ikiwemo kubomolewa, kuvamiwa na kuporwa mali zao na Halmashauri kuvamiwa (kuondolewa kwa nguvu) usiku wa manane ili kuwaacha wakididimia kwenye ufukara.
Wafanyabiashara wadogo ni uti wa mgongo wa uchumi wa mijini katika nchi yetu. Wanapasa kuheshimiwa na kusaidiwa badala ya kufanyiwa vitendo vya ukatili vinavyowadidimiza kiuchumi na kijamii.
ACT Wazalendo tunapinga kwa nguvu zote vitendo vya uvamizi na bomoa bomoa vya mara kwa mara vinavyofanywa na Serikali dhidi ya Wamachinga. Tunaitaka Serikali kuchukua hatua zifuatazo mara moja:
i. Tunaitaka Serikali iwalipe fidia wafanyabiashara wote walioathiriwa na unyama huu wa kuharibiwa biashara na kupoteza mitaji yao.
ii. Tunaitaka Serikali kuhakikisha wanapatiwa wafanyabishara hawa maeneo yao ya biashara ili waendelee kufanya kazi zao.
iii. Tunaitaka wizara za Uwekezaji pamoja na Viwanda na Biashara kushughulikia masuala yanayohusu ustawi wa wafanyabiashara wadogo kwani nao wanahitaji mazingira mazuri ya kufanya biashara zao hapa nchini.
iv. Serikali iwachukulie hatua za kisheria na kinidhamu wale wote waliohusika katika tukio hili ili kuhakikisha haki inatendeka na matukio kama haya hayajirudii
ACT Wazalendo tutaendelea kuwa upande wa wananchi, kupaza sauti dhidi ya dhuluma na kuhakikisha kwamba haki inatendeka kwa kila Mtanzania. Tunawasihi wafanyabiashara waendelee kusimama imara kudai haki zao.
Imetolewa na;
Ndg. Mwanaisha Zuberi Mndeme Waziri Kivuli wa Viwanda na Biashara
ACT Wazalendo.
03 Desemba, 2024
View attachment 3168078
View attachment 3168079
Ninalo duka kwenye fremu za soko jipya ambalo limezibwa na wamachinga kiasi ninashindwa kufanya biashara huku serikali inanidai kodi.Unaipongeza kwasababu wewe Kula yako hauipatii hapo barabarani
Au siyoItakua hujafika rangi tatu, barabara iwe barabara na meza ya biashara iwe meza ya biashara