PreGE2025 LGE2024 ACT Wazalendo: Uchaguzi wa serikali za Mitaa uliofanyika Mwezi Novemba 2024, ufutwe na ufanyike upya 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Chama Cha ACT Wazalendo leo Jumapili Aprili 06, 2025 kimetoa msimamo wake kikitaja uchaguzi wa serikali za Mitaa uliofanyika Mwezi Novemba 2024, ufutwe na ufanyike upya sanjari na uchaguzi wa kuwachagua madiwani, Wabunge na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hapo Oktoba mwaka 2025.

Katika hatua nyingine ACT Wazalendo kupitia kwa Makamu Mwenyekiti wa Bara Ndugu Isihaka Mchinjita, wakati wa Kongamano la tatu la Operesheni Linda demokrasia lililofanyika leo mkoani Kigoma kwenye Jimbo la Kigoma Mjini, ameeleza mambo sita ambayo Chama cha ACT Wazalendo kinaamini kuwa hayahitaji mabadiliko ya sheria bali ni usimamizi wa sheria zilizopo.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Suala la kwanza, kwa mujibu wa Ndugu Mchinjita ni kuhakikisha kuwa wajumbe wa sasa wa Tume Huru ya Uchaguzi wanaondolewa na wajumbe wapya wanateuliwa kwa kuzingatia utaratibu uliowekwa kwenye Sheria ya Tume Huru ya Uchaguzi ikiwemo kutangaza nafasi hizo na kufanya usaili kwa Watanzania wenye sifa kupewa nafasi ya kuwa Makamishna wa Tume Huru ya Uchaguzi.

Matukio ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kila Mkoa Tanzania Bara: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Pili, amesema Mchinjita, ni lazima vyombo vya ulinzi na usalama vijiondoshe katika kushiriki katika hujuma za kupora uchaguzi. Uzoefu wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019, Uchaguzi Mkuu 2020 na Uchaguzi Wa Serikali za Mitaa 2024 umeonesha kuwa vyombo vya dola ikiwemo Jeshi la Polisi na Idara ya Usalama wa Taifa vimejiingiza katika wizi kubariki na kushiriki katika vitendo vya wizi wa kura.

Chanzo: Jambotv
 
Haka kachama nako sometimes kanashangaza zana
 
CCM ni ukoo wa mbwa , hawaaminiki hata kidogo Bali na kuiba kura na kuongeza digit pia hununua wapinzani.
 
Back
Top Bottom