Zanzibar 2020 ACT Wazalendo waamsha Dhikri Nungwi - Haijawahi kutokea

Mabeberu hayatoi silaha kwa walugaluga, nyie mtapewa manati tu
Sisi tupo kwenye mkataba tunafuraha nyayo za Iraq na Libya
Unaambiwa hapa Uganda kuna watu walikua mawaziri kule Libya kwa Sasa ni mama ntilie wengine wakuu wa mikoa Sasa ni wamachinga barabarani
 
Mabeberu hayatoi silaha kwa walugaluga, nyie mtapewa manati tu
Huyu bwana alikua ni waziri wa serikali dhalim kule Libya kwa Sasa ni machinga kule Egypt
I can't wait to see Mr polepole mzee wa Mavi 8 akiwa machinga kule Kenya
Mimi naona mabeberu waje wachukua madini walete silaha tutafutane
 
Attachments

  • IMG_20201025_085656.jpg
    129.9 KB · Views: 1
Mabeberu hayatoi silaha kwa watu dhaifu km ninyi mtaishia kuijiua wenyewe
Huyu bwana alikua ni waziri wa serikali dhalim kule Libya kwa Sasa ni machinga kule Egypt
I can't wait to see Mr polepole mzee wa Mavi 8 akiwa machinga kule Kenya
Mimi naona mabeberu waje wachukua madini walete silaha tutafutane
 
CCM bado ipo sana kwasababu ni chama kinachojua namna ya kuleta MAENDELEO kwa Watanzania.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Huyu bwana alikua ni waziri wa serikali dhalim kule Libya kwa Sasa ni machinga kule Egypt
I can't wait to see Mr polepole mzee wa Mavi 8 akiwa machinga kule Kenya
Mimi naona mabeberu waje wachukua madini walete silaha tutafutane
Mpu...mbavu wewe.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Pole na wewe. Kwa msaada wenu tulipindua mwaka1964. Sasa maji ya shingo hatuna msaada kutoka kwenu tutatatambuana hukuhuku maana mfa maji hushika maji. Kwaheri ya kuonana.
 
Amka kumekucha hizo ndoto usijekujikojolea kitandani.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Waulize wapwa wa Gaddafi sasa wapo kwenye kambi za wakimbizi
Huyu bwana alikua waziri kwenye serikali dhalim ya Gaddafi sasa ni mjasiria Mali kule misri
 
Attachments

  • IMG_20201025_085656.jpg
    129.9 KB · Views: 1
Itatubidi tutegemee alishababu ,yaani alishababu kuminamoja hadi tisiini na tisa wanatusha kutusaidia dhidi ya makundi ya CCM ambayo polisi wetu na jeshi letu panoja na vyombo vyatu vya usalama wameshindwa kuwadhibiti ,CCM ni wakali sana naona dawa yao ni alishababu tu.
 
Dawa yao ni kuongea na mabeberu ili walete silaha halafu wachukua raslimali zote
Sisi na Akina Mavi 8 tutafutane
 
taarifa inazungumzia chama cha ACT-Wazalendo, CHADEMA inahusika nini hapa?

una akili timamu kweli wewe?
yaani hakuja kucha...mmeisha anza kuwakana wenzenu! Si ni hivi punde Lissu kamnadi mgombe wa ACT na kule Zanzibar ACT wanawanadi wagombea wa Chadema!? Hii vurumai hatari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…