Bia yetu
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 6,921
- 8,321
Mabeberu hayatoi silaha kwa walugaluga, nyie mtapewa manati tu
Sisi tupo kwenye mkataba tunafuraha nyayo za Iraq na Libya
Unaambiwa hapa Uganda kuna watu walikua mawaziri kule Libya kwa Sasa ni mama ntilie wengine wakuu wa mikoa Sasa ni wamachinga barabarani