ACT Wazalendo waitisha kikao cha dharura cha Kamati kuu kumjadili Mkurugenzi wa Uchaguzi Zanzibar

ACT Wazalendo waitisha kikao cha dharura cha Kamati kuu kumjadili Mkurugenzi wa Uchaguzi Zanzibar

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
ACT Wazalendo wameitisha kikao cha dharura cha Kamati kuu kujadili Kwanini Rais Dr Mwinyi kamteua Mkurugenzi yule yule wa 2020 kuendelea na Majukumu yake.

Lakini huku Tanganyika Dr Mahera yule yule wa 2020 wamemkubali.

J3 Ubarikiwe sana.
 
ACT Wazalendo wameitisha kikao cha dharura cha Kamati kuu kujadili Kwanini Rais Dr Mwinyi kamteua Mkurugenzi yule yule wa 2020 kuendelea na Majukumu yake...
Iko hivi.

ACT wanatumika sana na January, Nape na Msoga. Kiufupi wanajua Nguvu ya Dr Mwinyi na Majaliwa Majaliwa.

Kwa hiyo..chochote anachofanya Dr Mwinyi na Majaliwa ACT lazima watie mguu ili kuwamaliza nguvu.

2025 na 2030 kati ya Dr Mwinyi na Majaliwa anatakiwa kuwa Rais wa Tanzania..hii kiti haiwezi kuwaingia akilini akina pro January. Zitto anaamini kupitia hao maisha yake yataendelea kunawili.
 
[emoji116]
20220925_003728.jpg
 
ACT Wazalendo wameitisha kikao cha dharura cha Kamati kuu kujadili Kwanini Rais Dr Mwinyi kamteua Mkurugenzi yule yule wa 2020 kuendelea na Majukumu yake.

Lakini huku Tanganyika Dr Mahera yule yule wa 2020 wamemkubali.

J3 Ubarikiwe sana.
Wanafanyia makao makuu au ukumbi wa kukodi?
 
Back
Top Bottom