CIA mgumu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2022
- 962
- 1,934
🤣🤣🤣Wi haa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Wi haa
Uvccm Zanzibar wamewazalilisha Sana ACT akiwemo Makam wa kwanza wa Rais Zanzibar ,Hawa vijana Hawana adabu kabisaACT Wazalendo wameitisha kikao cha dharura cha Kamati kuu kujadili Kwanini Rais Dr Mwinyi kamteua Mkurugenzi yule yule wa 2020 kuendelea na Majukumu yake.
Lakini huku Tanganyika Dr Mahera yule yule wa 2020 wamemkubali.
J3 Ubarikiwe sana.
Jengo wamejenga Msoga gang na Rost Tamu. Wapemba wao wameingizwa mjini na Zito. Rejea ACT ilisimamisha wagombea uchaguzi wa 2015 nchi nzima wakiwa na mwaka tu. Ufadhilii wote ulitokea Msoga gang ili kupambana na CDM.Oh kumbe ile ni makao makuu ya ACT Tanganyika