ACT Wazalendo waitisha kikao cha dharura cha Kamati kuu kumjadili Mkurugenzi wa Uchaguzi Zanzibar

ACT Wazalendo waitisha kikao cha dharura cha Kamati kuu kumjadili Mkurugenzi wa Uchaguzi Zanzibar

ACT Wazalendo wameitisha kikao cha dharura cha Kamati kuu kujadili Kwanini Rais Dr Mwinyi kamteua Mkurugenzi yule yule wa 2020 kuendelea na Majukumu yake.

Lakini huku Tanganyika Dr Mahera yule yule wa 2020 wamemkubali.

J3 Ubarikiwe sana.
Uvccm Zanzibar wamewazalilisha Sana ACT akiwemo Makam wa kwanza wa Rais Zanzibar ,Hawa vijana Hawana adabu kabisa
 
Oh kumbe ile ni makao makuu ya ACT Tanganyika
Jengo wamejenga Msoga gang na Rost Tamu. Wapemba wao wameingizwa mjini na Zito. Rejea ACT ilisimamisha wagombea uchaguzi wa 2015 nchi nzima wakiwa na mwaka tu. Ufadhilii wote ulitokea Msoga gang ili kupambana na CDM.
 
Back
Top Bottom