johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Iko hivi.ACT Wazalendo wameitisha kikao cha dharura cha Kamati kuu kujadili Kwanini Rais Dr Mwinyi kamteua Mkurugenzi yule yule wa 2020 kuendelea na Majukumu yake...
Kati ya Zitto Kabwe na hao Mawaziri uliowataja ni nani anamtumikia mwenzake?Iko hivi.
ACT wanatumika sana na January, Nape na Msoga. Kiufupi wanajua Nguvu ya Dr Mwinyi na Majaliwa Majaliwa
Zitto anatumika.Kati ya Zitto Kabwe na hao Mawaziri uliowataja ni nani anamtumikia mwenzake?
Wanatumikiana kwa maslahi ya tumbo zaoKati ya Zitto Kabwe na hao Mawaziri uliowataja ni nani anamtumikia mwenzake?
Yaani ni mimi na wewe hiviACT na ccm ni ndugu damu damu
Wi haaYaani ni mimi na wewe hivi
Wanafanyia makao makuu au ukumbi wa kukodi?ACT Wazalendo wameitisha kikao cha dharura cha Kamati kuu kujadili Kwanini Rais Dr Mwinyi kamteua Mkurugenzi yule yule wa 2020 kuendelea na Majukumu yake.
Lakini huku Tanganyika Dr Mahera yule yule wa 2020 wamemkubali.
J3 Ubarikiwe sana.
Hotelini ZanzibarWanafanyia makao makuu au ukumbi wa kukodi?
CCM B ACT Wazalendo wameitusha kikao cha kumsema mteule wa RaisACT Wazalendo wameitisha kikao cha dharura cha Kamati kuu kujadili Kwanini Rais Dr Mwinyi kamteua Mkurugenzi yule yule wa 2020 kuendelea na Majukumu yake.
Lakini huku Tanganyika Dr Mahera yule yule wa 2020 wamemkubali.
J3 Ubarikiwe sana.
Si walituambia hawatotumia kumbi za kukodi tena baada ya kujenga jengo lao lenye kumbi za kisasa.Hotelini Zanzibar
Jambo linalojadiliwa linaihusu Nchi ya ZanzibarSi walituambia hawatotumia kumbi za kukodi tena baada ya kujenga jengo lao lenye kumbi za kisasa.
Zenji sio nchi.Jambo linalojadiliwa linaihusu Nchi ya Zanzibar
Oh kumbe ile ni makao makuu ya ACT TanganyikaJambo linalojadiliwa linaihusu Nchi ya Zanzibar
Ndio maana yakeOh kumbe ile ni makao makuu ya ACT Tanganyika
Endelea kukaririZenji sio nchi.
#MaendeleoHayanaChama