chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 20,711
- 31,331
Namuona simba akiwa amejikunyata tayari kukamata windo lake. ACT wazalendo wamebakiza hiviiii tu wakamate kambi ya upinzani.
Na kama wakifanikiwa kupata vichwa vikali bungeni, tunawasahau chadema kabisaaa na maisha yanaanza upya.
Hapo strategist watakuwa wameanza vikao vya hapa na pale kwa ajili ya maandalizi.