Unamdhalilisha MagufuliHapana, niko hapa na Balimi yangu nashushia supu ya mbuzi
Alikuwa kimada wake Dr. Magufuli au make umesema anamdhalilisha.Unamdhalilisha Magufuli
watanzania wa sasa sio wajinga fala wewe ndiyo maana maccm bila aibu yameanza mapema kubaka uchaguziNamuona simba akiwa amejikunyata tayari kukamata windo lake. ACT wazalendo wamebakiza hiviiii tu wakamate kambi ya upinzani.
Na kama wakifanikiwa kupata vichwa vikali bungeni, tunawasahau chadema kabisaaa na maisha yanaanza upya.
Hapo strategist watakuwa wameanza vikao vya hapa na pale kwa ajili ya maandalizi.
Chama kikuu kivipi? Base yao ni zanzibar yenye wapiga kura wasiozidi laki 3? Maadam chadema hatushiriki unadhani CCM ndio itawaachia majimbo ACT? utakua unaota, usishangae Mwinyi akapewa 99% ya kuraNamuona simba akiwa amejikunyata tayari kukamata windo lake. ACT wazalendo wamebakiza hiviiii tu wakamate kambi ya upinzani.
Na kama wakifanikiwa kupata vichwa vikali bungeni, tunawasahau chadema kabisaaa na maisha yanaanza upya.
Hapo strategist watakuwa wameanza vikao vya hapa na pale kwa ajili ya maandalizi.