Pre GE2025 ACT Wazalendo wampatia gari mzee Babu Duni. CHADEMA wanazungusha bakuli Lissu apate gari

Pre GE2025 ACT Wazalendo wampatia gari mzee Babu Duni. CHADEMA wanazungusha bakuli Lissu apate gari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Ukiangalia mchango wa Lisu kwa CHADEMA ni mkubwa sana kulinganisha na ule wa duni ,hata muda wa kutumikia chama pia ni tofauti maana ACT WAZALENDO ni chama cha juzi tu na sio kama CHADEMA cha zamani kidogo.

CHADEMA wanawanachama wengi zaidi na ruzuku kwa miaka kibao ikiwemo kupokea pesa kutoka kwa vyama marafiki lakini wanazungusha Bakuli.

Soma Pia: Tundu Lissu: Michango ya Wananchi kwaajili ya kununua Gari langu imefika Tsh. 104,081,139
USSR
20240904_185941.jpg
20240904_185938.jpg
20240904_185934.jpg
20240904_185929.jpg
CHADEMA
 
Ukiangalia mchango wa Lisu kwa CHADEMA ni mkubwa sana kulinganisha na ule wa duni ,hata muda wa kutumikia chama pia ni tofauti maana ACT WAZALENDO ni chama cha juzi tu na sio kama CHADEMA cha zamani kidogo.

CHADEMA wanawanachama wengi zaidi na ruzuku kwa miaka kibao ikiwemo kupokea pesa kutoka kwa vyama marafiki lakini wanazungusha Bakuli.

Soma Pia: Tundu Lissu: Michango ya Wananchi kwaajili ya kununua Gari langu imefika Tsh. 104,081,139
USSR
CHADEMA
Kuchangisha public ni njia Moja wapo ya kuchunguza ni vp mnakubalika huko nje kwa kuangalia muamio wa wananch thus kuchangisha ni strategy tu.
 
Act ukiwaangalia usoni huoni ujanja ujanja ila chadema Kuna ka ujanja ujanja flani kuanzia ngazi ya chini kabisa
Chadema kiongizi yeyote akiongea mwangalie usoni body language inaonyesha aongeacho hakitoki moyoni aongelee kuhusu Abdul na msma yake body language haidanganyi
 
Chadema hata pesa za Join the chain haijulikani zimeenda wapi hata Lissu naye anasema hoja za Msigwa juu ya hizo pesa zijibiwe!
 
Achaneni na magari shughulikieni hizi chaguzi ili zilete tija kwa wananchi siku za usoni. Watu hali zao ni duni mno nini kifanyike? Sio fulani kapewa gari na sio fulani anachangiwa ili anunue gari.
 
ACT siwaamini. ila huyu jamaa hapa aliongea
 
Attachments

  • 5813449-48b6510a53cd2ae329e56e0c46ecc90.mp4
    23.8 MB
Back
Top Bottom