Pre GE2025 ACT Wazalendo wampatia gari mzee Babu Duni. CHADEMA wanazungusha bakuli Lissu apate gari

Pre GE2025 ACT Wazalendo wampatia gari mzee Babu Duni. CHADEMA wanazungusha bakuli Lissu apate gari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nawapongeza sana ACT kwa hiki walichokifanya

Wanaendelea kututhibitishia kwamba, bila misaada tunaweza

Chadema acheni kutembeza mabakuri, iko siku mkiingia Ikulu bado mtaendelea kuombaomba ilihali mnawasema sana ccm kwamba wanaombaomba sana misaada n.k

2025 kataa ccm, okoa Taifa letu
 
Tunawapongeza sana ACT, na Babu Duni kwa wakati wake katika siasa za nchi yetu. Ila tunahitaji zawadi za maktaba za watu kama hawa itakuwa zawadi kubwa sana si kwake pekee bali kwa vizazi vijavyo.
 
CCM inapokea bei gani na imefanya nini? inaiba fedha za umma mara ngapi?
Kwa hiyo CHADEMA mnataka kuwa kama CCM? Kwanini hizo tabia mbaya za matumizo ya fedha msifanye tofauti na mnaowashutumu? Yaani nyie mnahalalisha upumbavu wenu kisa CCM naye kafanya? Kweli bila CCM imara nchi itayumba.
 
Hata mumeo pia yupo CCM
 
Ukiangalia mchango wa Lisu kwa CHADEMA ni mkubwa sana kulinganisha na ule wa duni ,hata muda wa kutumikia chama pia ni tofauti maana ACT WAZALENDO ni chama cha juzi tu na sio kama CHADEMA cha zamani kidogo.

CHADEMA wanawanachama wengi zaidi na ruzuku kwa miaka kibao ikiwemo kupokea pesa kutoka kwa vyama marafiki lakini wanazungusha Bakuli.

Soma Pia: Tundu Lissu: Michango ya Wananchi kwaajili ya kununua Gari langu imefika Tsh. 104,081,139
USSR
CHADEMA
Mmefanya vizuri kumuaga kwa heshima
 
Back
Top Bottom