Kwa hiyo CHADEMA mnataka kuwa kama CCM? Kwanini hizo tabia mbaya za matumizo ya fedha msifanye tofauti na mnaowashutumu? Yaani nyie mnahalalisha upumbavu wenu kisa CCM naye kafanya? Kweli bila CCM imara nchi itayumba.CCM inapokea bei gani na imefanya nini? inaiba fedha za umma mara ngapi?
Hata mumeo pia yupo CCMKwa hiyo CHADEMA mnataka kuwa kama CCM? Kwanini hizo tabia mbaya za matumizo ya fedha msifanye tofauti na mnaowashutumu? Yaani nyie mnahalalisha upumbavu wenu kisa CCM naye kafanya? Kweli bila CCM imara nchi itayumba.
Wewe hoja huna zaidi ya matusi.Hata mumeo pia yupo CCM
Kuwa CCM ni tusi?Wewe hoja huna zaidi ya matusi.
Mmefanya vizuri kumuaga kwa heshimaUkiangalia mchango wa Lisu kwa CHADEMA ni mkubwa sana kulinganisha na ule wa duni ,hata muda wa kutumikia chama pia ni tofauti maana ACT WAZALENDO ni chama cha juzi tu na sio kama CHADEMA cha zamani kidogo.
CHADEMA wanawanachama wengi zaidi na ruzuku kwa miaka kibao ikiwemo kupokea pesa kutoka kwa vyama marafiki lakini wanazungusha Bakuli.
Soma Pia: Tundu Lissu: Michango ya Wananchi kwaajili ya kununua Gari langu imefika Tsh. 104,081,139
USSR
CHADEMA