ACT Wazalendo wanaamini wanaweza kushirikiana na CCM kumwondoa Mbowe Madarakani? Mbowe anaathiri vipi kustawi kwa vyama hivi shikizi?

Lakini na nyie chadema ina maana kiongozi ni mbowe tu? Ebu kuweni serious kidogo basi miaka yote hakuna mwenye uwezo kumzidi yeye? Sasa hiyo democracy au ufalme?
Mbona hamuumii roho Cheyo kuwa mwenyekiti wa UDP toka 1993?
 
Mbona hamuumii roho Cheyo kuwa mwenyekiti wa UDP toka 1993?

Sasa unaona udp ipo wap had sasa? Maana yake hata hiyo chadema itakuja kuishia kama udp tu. Kumbuka mbowe anazeeka na kuna mambo mengine ya kibidamu kama kuugua au kufa. Sasa mnasubiri hadi hayo yamkute na mbinu zake hazipo tena wakati huo unadhani kutakuwa na chama tena hapo?
 
Lakini na nyie chadema ina maana kiongozi ni mbowe tu? Ebu kuweni serious kidogo basi miaka yote hakuna mwenye uwezo kumzidi yeye? Sasa hiyo democracy au ufalme?
Unapendelea waongozwe na nani kama mwenyekiti wao?
 
Wanashangaza saana ,hivi wamesahau kuwa mzee mbowe alipataga kura laki name alivyogombea uraisi wa nchii hii? Na aliweza kupata kura elfu tano tu toka kwa mikoa mingine dhidi ya Kilimanjaro na Arusha?
Wewe ulipata kura ngapi ili ulinganishwe naye?
 
Sasa kama hata haujui alipo ndiyo unaona mawazo yako yapo sawa kweli?
Wewe lofa nini kwani mimi baba yangu hadi nijue alipo kila siku? Msigwa ni mwenyekiti wa chadema kanda ya nyasa na anafaa kuwa mwenyekiti wa chadema maana ana busara tofauti na lema au lissu sasa kutokujua kwangu alipo kunahusiana vipi na hoja yangu?

Sasa nyie endeleeni na mbowe yeye anavyozeeka na chama ndio kinazeeka. Huon hata maandamano watu wa kuokota okota? Ingekuwa miaka 10 nyuma unadhani hali ingekuwa hivi?
 
Ni namna unavyowaza kizuzu ndivyo unavyojionesha hadharani. Wenyewe CDM wakimuhitaji yeyote awe mwenyekiti wao watamchagua.Siyo wewe zwazwa na wenzio mpo kwenye maandamano ya siku yenu ya wanawake huku "mnawachagulia" CDM viongozi.
 
Kama ni swala la kukaa muda mrefu, basi na CCM imekaa madarakani muda mrefu, iondoke. Kadri mnavyomuandama mbowe, tunaelewa ouga wenu!
 
Ni namna unavyowaza kizuzu ndivyo unavyojionesha hadharani. Wenyewe CDM wakimuhitaji yeyote awe mwenyekiti wao watamchagua.Siyo wewe zwazwa na wenzio mpo kwenye maandamano ya siku yenu ya wanawake huku "mnawachagulia" CDM viongozi.

Yetu macho, wacha tuendelee kuona vituko vyenu bawacha.
 
Chadema ikiisha si ndiyo furaha yenu? Iacheni iishe ili mfurahi. Au lengo lenu huwa nini nini haswa? Si chadema ife?
 
Kwani mkund*** unakuwasha nini? Na bado mwaka huu lazima mjinyee mbwa nyie, mbowe mi5 tena!
 
Wanashangaza saana ,hivi wamesahau kuwa mzee mbowe alipataga kura laki name alivyogombea uraisi wa nchii hii? Na aliweza kupata kura elfu tano tu toka kwa mikoa mingine dhidi ya Kilimanjaro na Arusha?
Point yako ni nini? Kila thread naona unaandika hii comment. Mbowe alimkula mamako akamtelekeza nini?
 
bila shaka stori yako inatufundisha kwamba,
taasisi imara, kama vile vyama vya kisiasa ni sharti kujengwa chini ya misingi ya sera, dira, uelekeo na malengo mahususi ya kushika dola na sio kujenga juu ya mtu au watu πŸ’

huko ni kujidumaza na kujiandalia msambaratiko wa kukipoteza chama πŸ’

Tizama mjadala unaondelea ni aibu, kama kingekua ni chama cha kidemokrasia kweli hapangekua na mjadala kama huu....

Anae ambiwa ang'atuke anaona aibu na anajawa na hasira lakini sana msosi wake kutiliwa mchanga, lakini pia mwanachama anaempambania huyo mtu nae anaona aibu, mihemko kama yote, na ghadhabu ikiwa juu sana πŸ’

analaumiwa na kusingiziwa hata ambae hahusiki na chama hicho, ni mwendo wa kuweweseka tu πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…