Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
ACT Wazalendo wanatoa tamko kuhusu Polisi kutumia nguvu dhidi ya Raia
Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Taifa,Othman Masoud Othman
Mfumo wa sasa hivi kwamba Polisi wanapokea amri hasa ngazi ya Mkoa na Wilaya wanapokea amri kutoka wanaojifanya ni Wanasiasa, kutoka kwa Wakuu Wa Mikoa.
Tunajuwa kuwa baadhi ya Polisi wana uwelidi, wenye Utu wapo Polisi wanaelewa kazi zao lakini kuna mazingira yanawafanya wasifanye kazi zao kwa uhuru.
Jeshi la Polisi bado wanayo nafasi ya kufanya kazi zao kwa uadilifu, hivyo liache kujiegemeza upande mmoja wa Siasa na liache kutoa taarifa ambazo badala ya kuleta Amani na Utengamano Nchini. Unaleta taharuki na kutoa vitisho visivyo na sababu.
Jeshi la Polisi linatakiwa kuchukua hatua dhidi ya matukio yote ya uhalifu na ukatili ambayo tumeyaonyesha na mengine .
View: https://www.youtube.com/live/alTGu7UHqE8