ACT Wazalendo wapendekeza suluhisho la kukabiliana na uhaba wa mafuta, CHADEMA wanazunguka kulaumu

ACT Wazalendo wapendekeza suluhisho la kukabiliana na uhaba wa mafuta, CHADEMA wanazunguka kulaumu

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Nimewahi kuandika na narudia kuandika kwamba wanaojiita Wapinzani Wakuu ambao wanataka Kuchukua Dola zaidi ya kulaumu,kutukana na kutoa mifano ya Nchi za Ulaya umewahi wasikia wakija na njia ya utatuzi wa Changamoto yeyote kwenye jamii?

CHADEMA ni chama cha wahuni wasiojitambua, wana mengi sana ya kujifunza kutoka ACT Wazalendo kuanzia kujadiki hoja, kupendeleza njia mbadala na kuonesha njia.

Hata kwenye sakata la Bandari ACT Wazalendo walikuwa na pendekezo lao ila CHADEMA kama kawaida kulaumu harafu ukiwauliza wao wakupe utatuzi hawana majibu 😂😂

Hongera sana ACT Kwa kuonesha njia na maana ya Upinzani, Serikali pitieni pendekezo hili mchujue yenye shida.

In response to the fuel price hike, ACT Wazalendo, in a statement issued yesterday signed by Energy sector spokesperson Is-haka Mchinjita, and Finance and Economy section spokesperson Ester Thomas, has called on the government to adopt renewable energy as a solution.

The party proposed that all government vehicles should start using natural gas (CNG) to reduce the reliance on foreign currency for fuel imports, potentially saving the government around Sh500 billion annually.
The Citizen

My Take
Ogopeni vyama vya matapeli wanaotumia kila mbinu waingie madarakani.

ukiona zitto kabwe kachangia mada yoyote yenye kukosoa serikali , jua kuwa hiyo kitu imejadiliwa na zitto na TISS , jua ni sehemu ya spinning ya ccm, zitto hawawezi kumchafua MAKAMBA
Jikite kwenye hoja acha kuleta upuuzi
 
Ni mara ngapi vyama vya upinzani na wadau wengine wamekua wakitoa mapendekezo mazuri lakini hayakufanyiwa kazi na serikali?

Kama wangetaka kupata mapendekezo wangeyachukua kabla ya kufanya maamuzi ya kupandisha bei, ukishafanya maamuzi (mazuri au mabaya) kinachosubiriwa na matokeo (mazuri au mabaya).
 
Wewe umewahi sikia pendekezo lolote la Chadema Kwa kitu chochote?

Unaelewa maana ya Constructive criticism?
 
Nimewahi kuandika na narudia kuandika kwamba wanaojiita Wapinzani Wakuu ambao wanataka Kuchukua Dola zaidi ya kulaumu,kutukana na kutoa mifano ya Nchi za Ulaya umewahi wasikia wakija na njia ya utatuzi wa Changamoto yeyote kwenye jamii?
Hawawezi kusikilizwa. Mfano ni ishu ya mkataba wa Bandari, CHADEMA wanapendekeza upitiwe upya, CCM na Serikali wanazunguka mikoani kusema kwamba ni mzuri na utatunufaisha. Kama wapinzani wanapendekeza lakini serikali inaongea tofauti na kinachopendekezwa, utaendelea kupendekeza?
 
Mbona Serikali imesema utapitiwa up ya? Kwanza Chadema wanasema ifutwe na hicho Serikali imekataa.

Sio kazi ya serikali kuchukua Kila kitu Cha Upinzani, Serikali Ina resources zaidi kuliko wao ila Ina nafasi ya kuchukua Baadhi kuboresha.
 
Mbona Serikali imesema utapitiwa upya? Kwanza Chadema wanasema ifutwe na hicho Serikali imekataa.
Weka nukuu ya kiongozi mwandamizi wa serikali aliyesema kwamba mkataba uliopitishwa bungeni utapitiwa upya
 
Weka nukuu ya kiongozi mwandamizi wa serikali aliyesema kwamba mkataba uliopitishwa bungeni utapitiwa upya
Serikali mara ngapi imesema tena via PM kwamba wakati wa kusaini makubaliano ya utekelezwaji wa Mkataba watazingatia maoni na Wasiwasi wa wadau
 
Back
Top Bottom