ACT Wazalendo wasusiwa uwanja

ACT Wazalendo wasusiwa uwanja

Kuunganisha nguvu ni jambo la kheri. Umoja ni nguvu.
Umoja mara zote umegeuka kuwa tatizo kwa wapinzani. Ccm wamekuwa wakitumia umoja kama sehemu ya kupandikiza migogoro.
 
Maskini zito. Alitupiwa mgebuka zanzibar nae kajiona mhimili. Mwakeye zitto. You once became my inspirational while young politician unfortunately gradually you went down the hill and you are not far from hitting zero. Zile soda za ki papuli zingekuwepo bado ningekutunuku ku celebrate rangi ya chama
 
Umoja mara zote umegeuka kuwa tatizo kwa wapinzani. Ccm wamekuwa wakitumia umoja kama sehemu ya kupandikiza migogoro.

Wakati wowote mawazoni tukijua hakuna rafiki au adui wa kudumu bali agenda haiwezi kutusumbua wala kutugharimu.

Ni kwa sababu hizo CDM haiwezi kujuta wala kujipongeza kwa kuwa au kutokuwa na awaye yoye wakati wowote katika hisoria yake.

Kwenye kupata katiba mpya kabla ya uchaguzi mkuu kila silaha na itumike sawia na mahitaji yake.
 
Back
Top Bottom