OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila mazungumzo hakuna kitafanyika, hajasaliti bora kushiriki, utoe maoni yasitekelezwe kuliko kuacha na kuendelea kulaumu
Hayo maoni utayatoa kwa nani wakati Rais anahutubia, mnapiga naye picha, kisha anaondoka? Na ndiyo inakuwa mwisho wa kikao.Bila mazungumzo hakuna kitafanyika, hajasaliti bora kushiriki, utoe maoni yasitekelezwe kuliko kuacha na kuendelea kulaumu
aliyekwambia ni kikao cha kujadiliana ni nani. Msimamo wa Chadema umekuwa ni kikao cha mjadala badala ya Rais kuja kuwahutubianivizuri kujadilina wala sio kusaliti chama
Ile ni public relations activities ili kuwaonyesha mabeberu kwamba Kuna maridhiano hakuna litakalofanyiwa kazi ukandamizaji unaendeleaje kama kawaidaHayo maoni utayatoa kwa nani wakati Rais anahutubia, mnapiga naye picha, kisha anaondoka? Na ndiyo inakuwa mwisho wa kikao.
Huyu demu ana matatizo ya kisaikolojia.
Zitto kwani ni mpinzani bado? hujui ujasusi uliotumika kumuondoa yule "babu" kupitia kwa huyu msaliti wa Upinzani kisha wakawa watawala wenza (wake wenza) visiwani....ahaaa Zito kabwe alishapotea duniani kitambo wa sasa anaitwa Zito Bwashehe kama ulikuwa hujui
Kazi za vyama vya siasa zimeainishwa kwenye katiba kikao Cha nin yaani haki yako ukaiombe TenaKwa hiyo hao ACT ni machizi wanaposema wanakwenda kushiriki kikao cha wadau wa siasa?....
Nilivyoelewa, Rais anakuja kufungua kikao na kuondoka, huku wengine mkiendelea na kikao, Rais ni mgeni rasmi....sasa CDM wanataka na Rais naye ashiriki nao hapo kwenye hicho kikao hapo wabishane, wazodoane nk...Kifupi kunaupotoshaji... hii ndio maana ya Deko alilosema Bashiru..
Hayo ni mawazo yake na anaungwa mkono na wengi mfano CHADEMA ndio mtazamo wao wewe pinga kwa hoja sio misemo.Huyu demu ana matatizo ya kisaikolojia.
aliyekwambia ni kikao cha kujadiliana ni nani. Msimamo wa Chadema umekuwa ni kikao cha mjadala badala ya Rais kuja kuwahutubia
Soma tarehe ya twitt hiiZitto Hajawahi Kuwa Mpinzani Zitto Anaangalia Maslahi;
Kwani zitto nilini aliwahi kuwa mpinzani?