Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Wana cdm tulipo mkataa Zzk tulikuwa tunamaanisha kusafisha ghala.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana cdm tulipo mkataa Zzk tulikuwa tunamaanisha kusafisha ghala.
Yatasikilizwa na nani wakati na yeye yupo kwenye maamuzi?Bila mazungumzo hakuna kitafanyika, hajasaliti bora kushiriki, utoe maoni yasitekelezwe kuliko kuacha na kuendelea kulaumu
Zito ni mwana ccm hivyo anaenda kuongeza idadi ya washiriki ili kikao kisionekane kimedodanivizuri kujadilina wala sio kusaliti chama
Unauliza au unaongea?Ngozi ya tako ina tabu sana.
Kwahiyo ulitaka agomee!
Wachana na hao wasiyo na maono maushani mwaoHayo maoni utayatoa kwa nani wakati Rais anahutubia, mnapiga naye picha, kisha anaondoka? Na ndiyo inakuwa mwisho wa kikao.
Upo makini sana mkuuIle ni public relations activities ili kuwaonyesha mabeberu kwamba Kuna maridhiano hakuna litakalofanyiwa kazi ukandamizaji unaendeleaje kama kawaida
Kazi za vyama vya siasa zipo kikatiba na sio kwa huruma ya mtu au watu fulani
Bashiru na wewe akili zenu sawa.Kwa hiyo hao ACT ni machizi wanaposema wanakwenda kushiriki kikao cha wadau wa siasa?....
Nilivyoelewa, Rais anakuja kufungua kikao na kuondoka, huku wengine mkiendelea na kikao, Rais ni mgeni rasmi....sasa CDM wanataka na Rais naye ashiriki nao hapo kwenye hicho kikao hapo wabishane, wazodoane nk...Kifupi kunaupotoshaji... hii ndio maana ya Deko alilosema Bashiru..
Pamoja sanaZitto Hajawahi Kuwa Mpinzani Zitto Anaangalia Maslahi;
Ubarikiwe sana mkuu kwa kuwa mkweliZitto kwani ni mpinzani bado? hujui ujasusi uliotumika kumuondoa yule "babu" kupitia kwa huyu msaliti wa Upinzani kisha wakawa watawala wenza (wake wenza) visiwani....ahaaa Zito kabwe alishapotea duniani kitambo wa sasa anaitwa Zito Bwashehe kama ulikuwa hujui
Ebu nenda kanawe miguu ulale ndiyo kazi unayo iwezawewe nani amekwambia sio kikao cha majadiliano?.....hiyo taarifa ya ACT inatuambia kikao cha wadau wa siasa, na wameweka agenda yao hapo... kama ni kikao cha wadau maana yake kutakuwa na hoja mbalimbali zitakazowakilishwa.....ubaya uko wapi sasa...?
KWAni nini hakinulikani? Sheria zipo zifuatwe,Bila mazungumzo hakuna kitafanyika, hajasaliti bora kushiriki, utoe maoni yasitekelezwe kuliko kuacha na kuendelea kulaumu
Nchi imejamba hiiHayo maoni utayatoa kwa nani wakati Rais anahutubia, mnapiga naye picha, kisha anaondoka? Na ndiyo inakuwa mwisho wa kikao.
Sasa wanaweza kumpa Zito nafasi azungumze kwa kua CHADEMA wamekosoa ratiba ya mkutano.wewe nani amekwambia sio kikao cha majadiliano?.....hiyo taarifa ya ACT inatuambia kikao cha wadau wa siasa, na wameweka agenda yao hapo... kama ni kikao cha wadau maana yake kutakuwa na hoja mbalimbali zitakazowakilishwa.....ubaya uko wapi sasa...?
Chadema wanamatatizoKwa hiyo hao ACT ni machizi wanaposema wanakwenda kushiriki kikao cha wadau wa siasa?....
Nilivyoelewa, Rais anakuja kufungua kikao na kuondoka, huku wengine mkiendelea na kikao, Rais ni mgeni rasmi....sasa CDM wanataka na Rais naye ashiriki nao hapo kwenye hicho kikao hapo wabishane, wazodoane nk...Kifupi kunaupotoshaji... hii ndio maana ya Deko alilosema Bashiru..
Unaenda kutoa maoni huku ukitambua hayatofanyiwa kazi inamaana gani?
Ngozi ya tako ina tabu sana.
Kwahiyo ulitaka agomee!
Mfano, hii siyo akili ya kawaidaHayo ni mawazo yake na anaungwa mkono na wengi mfano CHADEMA ndio mtazamo wao wewe pinga kwa hoja sio misemo.
Soma tarehe ya twitt hii View attachment 2044073