Naunga mkono hoja yako 100%Angebaki kwenye kutetea haki za binadamu, heshima aliyoijenga kwa miaka mingi inaenda kuisha
Amenikumbusha Shehe Prof Mikidadi alikuwa mbunge huko KilwaSheikh Ponda atachukua fomu katika eneo la Azimio Tandika Wilaya ya Temeke zilipo ofisi za Jimbo ya Chama cha ACT Wazalendo.
Angebaki kwenye kutetea haki za binadamu, heshima aliyoijenga kwa miaka mingi inaenda kuisha
Lissu ana heshima gani zaidi kuwa kibaraka la wazungukwanini iishe? Heshima ya lissu iliisha baada ya kushindwa na magufuli?
Lissu ana heshima gani zaidi kuwa kibaraka la wazungu
Ponda na Lisu ni mbingu na nchikwanini iishe? Heshima ya lissu iliisha baada ya kushindwa na magufuli?
Kwa mtazamo wako ambao sio lazima uwe sahihi.Hiyo heshima haijawai kumletea lishe zaid ya misukosuko.wacha atafute Jukwaa jingine namna nyingine yakupaza sauti yake na kujenga maisha yake.Nina amini angekua kaenda chadema usingeona heshima yake itashuka nikwasababu mmejimilikisha siasa za upinzani kituu ambacho sio sawa.Angebaki kwenye kutetea haki za binadamu, heshima aliyoijenga kwa miaka mingi inaenda kuisha
Sawa mkuu kila la kheri kwakeKwa mtazamo wako ambao sio lazima uwe sahihi.Hiyo heshima haijawai kumletea lishe zaid ya misukosuko.wacha atafute Jukwaa jingine namna nyingine yakupaza sauti yake na kujenga maisha yake.Nina amini angekua kaenda chadema usingeona heshima yake itashuka nikwasababu mmejimilikisha siasa za upinzani kituu ambacho sio sawa.
Ponda na Lisu ni mbingu na nchi
Poa mkuunaona hujibu swali mkuu