24 July 2024
ACT Wazalendo Yaeleza Sababu za Umasikini Mkoa wa Simiyu
View: https://m.youtube.com/watch?v=gfWTg6cmpUc
Katibu Mkuu ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu ameyasema haya akiwa Jimbo la Busega Mkoani Simiyu Julai 23, 2024.
Akiwa katika ziara ya Mikoa ya Kanda ya Ziwa ikiwa ni siku ya pili tangu kuanza kwa ziara hii Ndugu Ado ameweza kuibua Changamoto mbalimbali wanazopitia wananchi ikiwemo umasikini, wizi wa ardhi, na umasikini uliokithiri....
Hotuba yake pia ilikuwa inasikika live ktk Bunda FM ili wananchi wa baadhi ya mikoa ya pande ya kanda Ziwa wapate kuelewa umuhimu wa kuishiri katika uchaguzi na kufanya maamuzi sahihi ....
Source : ACT MEDIA