GE2025 ACT Wazalendo yafunguka Mgombea Ubunge kujitoa, Sumbawanga Mjini

GE2025 ACT Wazalendo yafunguka Mgombea Ubunge kujitoa, Sumbawanga Mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Baada ya Siku kadhaa kupitia aliyekuwa Mgombea wa Ubunge Jimbo la Sumbawanga Mjini kupitia Chama Cha ACT Wazalendo, Edwin Kachoma kutangaza kujitoa katika kinyang'anyiro cha Ubunge kutokana na kutopata ushirikiano kutoka ndani ya chama, hatimaye Uongozi wa Chama Mkoa wa Rukwa umefunguka.

Akizungumza na VOS FM kwa njia ya simu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Mkoa wa Rukwa Aziz Masenga amesema hawakushirikishwa katika uamuzi huo uliochukuliwa na aliyekuwa Mgombea wao, akiutaja kuwa ni uamuzi wa kibinafsi.

Soma Pia: GE2025 - Edwin Kachoma Ajiondoa Kugombea Ubunge Sumbawanga Mjini Kupitia ACT-Wazalendo

Chanzo: @vosfmtz ​
 
Back
Top Bottom