Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Chama cha ACT Wazalendo kimeonyesha ukomavu wa kisiasa kwa kumpongeza Tundu Lissu kufuatia ushindi wake kama Mwenyekiti wa CHADEMA, nafasi ambayo pia inamfanya kuwa Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD).
Pia, Soma: Pongezi mbalimbali za viongozi kwa Ushindi wa Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti mpya CHADEMA
Kupitia ujumbe uliochapishwa na ACT Wazalendo kwenye ukurasa wao wa X (zamani Twitter), kiongozi wa chama hicho, Mwl. Macheyeki Philbert Jr, amepongeza Lissu kwa ushindi huo na kumkaribisha katika uongozi wa TCD, akiahidi ushirikiano wa dhati katika harakati za kuimarisha demokrasia nchini.