Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Hawakuwa na namna nyingine. Maalim alishindwa kupindua meza mwaka 2015. Ulitegemea angefurukuta mwaka huu tena wakati hao jamaa wamempa 19% tu kura zote?HAWA KAMA WAMEKUBALI KUSHIRIKI KUUNDA SEREKALI THATS MEANS WAMESHA WAMEHALALISHA UCHAGUZI NA NI KIBALI KIBALI CHA WAZI SASA KWA COVID 19 KUINGIA KAZINI
Usaliti ulianza pale walipomgeuka BERNARD MEMBE,Kufuatia uamuzi was chama Cha Act Wazalendo kukubali kushiriki serikali ya mapinduzi Zanzibar huku wakijua kuwa uchaguzi haukuwa huru na haki , huku wakijua kuna watu wameuawawa , kupigwa , kuteswa , kufungwa , bambikiwa kesi , chomewa nyumba bila kujali madhira waliyoyapata wafuasi na wanachama wao leo hii Zitto Kabwe...
Hakuna chochote Kenya imeizidi tz,!Enzi KANU inatamba ccm huko Kenya, wapambe wake walikuwa wanasema KANU ndio chama pekee kinaweza kuiongoza Kenya. Leo hii KANU imeondolewa madarakani, na Kenya ni bora kiuchumi, kielimu, kibiashara, kiafya nk, kuliko Tanzania ambayo haijawahi kutawaliwa na chama nje ya ccm.
Nina uhakika Zitto Kabwe Maalim Seif Sharifu Hamad na Act Wazalendo hata waje na hoja gani kuhalalisha hiki walichokifanya hakuna mtu anaweza kuwaelewa labda hao walioenda kuungana nao kuwasdifia wapate hela za wafadhili ..Nchi haiwezi kuendelea hivi. Lazima tuelewane.
Aiseee tuna wapinzani wa ajabu sana nchi hii , usije kuta hawa ni maafisa vipeuo .Mkuu fikiria mara mbili mbili ,Zitto kwasasa sio mbunge ,kwahiyo karata yake ya mwisho ni Ruzuku za chama,sasa akikataa hapo lazima maisha yawe magumu!! Tatizo NJAA mkuu harakati ngumu kama una njaa.
Utawala huu siyo imara bali unatumia advantage wananchi wengi kutopenda kuhoji na fujo.Mkuu kwako wewe vurugu na mauaji ni furaha, unadhani hoja ya ICC ni tishio kwa utawala huu ulio imara kuliko hapo swali?
Nani alikuambia huu uchaguzi haukuwa huru? Mmeshindwa kwenye sanduku la kura bado mnabwatuka! Ndo maana wananchi hawawaungi mkono kwa uovu na uchafuzi wenu kisa mnataka madaraka!Kufuatia uamuzi was chama Cha Act Wazalendo kukubali kushiriki serikali ya mapinduzi Zanzibar huku wakijua kuwa uchaguzi haukuwa huru na haki , huku wakijua kuna watu wameuawawa...
Zitto Kabwe na Maalim Seif Sharifu Hamad nimewadharau kweli kwa huu upuuzi walioufanya .Viongozi wenyewe ACT ni Nondo na Shaibu? nchi hii ina vituko!
kama CHADEMA walivokosea kumpokea Lowassa na Sumaye, mpaka leo wanajutia maamuzi yao maana ndio yaliyowarudisha nyuma.Membe alikuwepo? Mshauri wenu. Yaani mlikosea sana kumpokea Membe.
Kama ni Lumumba pita kushoto , ili uchaguzi uwe huru na haki kuna sifa zake ( characteristics ) zinazoaangaliwa na sio mapenzi ya kijani kibichi .Nani alikuambia huu uchaguzi haukuwa huru? Mmeshindwa kwenye sanduku la kura bado mnabwatuka! Ndo maana wananchi hawawaungi mkono kwa uovu na uchafuzi wenu kisa mnataka madaraka!
Nasikia miaka yote Maalim Seif huwa anavuta mpunga .Watakuwa wamevuta mabilioni kibindoni
Wakifanya hivyo basi wajue watakuwa kama Lipumba .Nadhani sasa CHADEMA wawarudishie akina Halima Mdee uanachama wao waendelee na ubunge wao!