PreGE2025 ACT Wazalendo yatangaza rasmi kuwa itashiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wakuu,

Kupitia mitandao ya kijamii, chama cha ACT Wazalendo wamedokeza kuwa leo wana jambo lao zito ambalo wanataka kuwawasilishia wananchi.

Ni jambo gani? Fuatilia uzi huu, ujue nini kitakochoendelea kwenye mkutano huo!




View attachment 3306026
Watakuj
kuna mtu alitarajia vitakuja na tamko tofauti?
 
Hongera zao hawa wa
mefika mbali.
 
Watashiriki Zanzibar, Huku Bara hakuna mwenye muda nao hao nyange-nyange.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…