Pre GE2025 ACT Wazalendo yawaomba CHADEMA kuahirisha maandamano waliyopanga kufanya 23/09/2024

Pre GE2025 ACT Wazalendo yawaomba CHADEMA kuahirisha maandamano waliyopanga kufanya 23/09/2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cannabis

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
11,557
Reaction score
33,535
1000012691.jpg
1000012692.jpg
 
Wana kiongozi yoyote jela? Wana kiongozi yoyote aliyepigwa risasi? Wana kiongozi yoyotre aliyeuawa?

Zitto na watu wake, should never be trusted
 
Naona uzi wote umejaa machawa kama mleta uzi na Mwenye tangazo!
 
Hongereni ACT, japo mmechelewa. Binafsi mlipaswa kuwashinikiza polisi kufanya wajibu wao ikiwa ni pamoja na kuonesha nia ya dhati na kuwarejesha wale wanaosemwa kutekwa.
Lolote baya, lawama zangu kwa jeshi letu. Wanakila kitu kuliokoa hili taifa dhidi ya hii mbilinge.
 
Nawaza tu maana Viongozi wa CHADEMA wanaonekana kujiamini tofauti na walivyozoeleka

Halafu ACT Wazalendo ndio wanawaomba, unajiuliza CHADEMA ana ubavu gani hadi aombwe?

Siasa hizi 🐼
 
Ndio mwisho wako wa kufikiri huo? Kwahiyo unadhani Chadema wanafurahia kutekwa na kuuliwa?
 
Back
Top Bottom