Pre GE2025 ACT Wazalendo yawaomba CHADEMA kuahirisha maandamano waliyopanga kufanya 23/09/2024

Pre GE2025 ACT Wazalendo yawaomba CHADEMA kuahirisha maandamano waliyopanga kufanya 23/09/2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CCM B katika ubora wake!! Pia ucngetegemea AC kuwepo kwenye maandamano kwakua YY ni mshirika wa CCM znz.
All the best
 
Maandamano haya ni ya kipuuzi kabisa, maana imeshaelezwa vyombo vya kiupelelezi viko kazini, hekima ilikuwa ni kwamba baada ya vyombo hivyo kutoa maelezo yake, sasa tuandamane ya kwamba hatujaridhika na upelelezi huo!, na una mashaka, but our Govt worked for highly!...
We unajua vizuri serikali ikiwa kazini ipoje, muda huu ungesikia kuna washukiwa kadhaa wamepatikana, hii inaenda kama kesi ya mauaji ya Lisu ilivyo. sana sana utaambiwa marehemu hayupo kuisaidia polisi
 
KUNGUNI yeyote atakaye jaribu kusogeza pua yake atajuta kuandamana.
 
Hii barua ni fake. Itakuwa imeandikwa na CCM.

Barua inasema, "Mimi mwenyekiti Othman", halafu imesainiwa na Doroth. CCM mbona mnahangaika sana kugushi matamko? Mara mjifanye viongozi wa bodaboda, mara mjifanye viongozi wa wakulima. Mwishowe mtajifanya viongozi wa umoja wa wachawi, viongozi wa umoja wa malaya na viongozi wa umoja wa wanywa gongo na wavutaji bangi, kote huko mkisema kuwa hamtashiriki maandamano!!
 
Back
Top Bottom