PreGE2025 ACT Wazalendo Zanzibar wameamua kwenda mwilini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
2,175
Reaction score
4,181
Kinachoonekana sasa ni ACT Wazalendo kutazama wanayosema wanye madaraka wakiwemo wanachama wa CCM wa kawaida wanaopata au kupewa nafasi ya kuzungumza.

Jambo ambalo limewanya CCM wengi kuchunga maulimi yao. ACT Wazalendo wameamua kumshitaki mtu na si kuilalamikia CCM ,anaetenda kosa na likabainika kama ni kosa basi hawachukui muda wanamfungulia mashitaka kama haitoshi wanawekeza hata Katiba na sheria zinavyosema.

Wandai huko mahakamani ataenda mtu yeye kama yeye na hawatakihusisha chama cha CCM ,hivyo wametoa onyo in advance yeyote atakaevunja sheria watakutana mahakamani .

Wanapokupeleka mahakamani watadai ni sheria gani au kifungu chake kimekuruhusu kutenda tendo hilo ? Kuna kiongozi wa Mkoa (Mkuu wa Mkoa) ni mkuu fulani amewataka na kuwadai wafanyakazi wake wote wapeleke karatasi zao za kupigia kura ,madai yake ni kuwa huwenda wameajiri wafanyakazi waliokuwa hawakuipigia kura CCM au wameajiri wananchi waliokuwa hawakupiga kura na kusaidia kuiweka serikali madarakani ,hivyo serikali haifai kuwapa kazi watu wa aina hio.

Inasemekana amevunja vipande vitano vya katiba ,wakati wowote atashitakiwa yeye kama yeye ,imesemwa amewapigia simu wahusika kuwaomba wamsamehe na wasimfikishe mahakamani kwani ana mke na watoto analea.
 
Tatizo ni kuwa jee Mahakama ziko huru? Majaji wenyewe ni wateule wa Rais na ni makada wa CCM.
 
Back
Top Bottom