ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Toka nijiunge JamiiForums huyu smart911 Yuko peace sana sijawahi kuona kabishana na mtu au kuleteana lomoni humu ndani. Mtaje wa kwako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usimsahau rejao na bi faizafoxyJingalao,stroke,kaweAlmni,magonjwa mtambuka etc
Naona tumewaza sawa.
👍Miss Zomboko
Mkuu hata kuchangia huwa hawachangii kwenye taarifa wanazoleta?Huyu na mwenzake beth hawanaga time na mtu. Wanaleta taarifa kisha wanatokomea kusiko julikana
😂😂 Yaani wakishabwaga WANATOKOMEA....Huyu na mwenzake beth hawanaga time na mtu. Wanaleta taarifa kisha wanatokomea kusiko julikana
😂Kuna mtu anaitwa mkwepu jr ulishawahi kumsikia au kuona mahala aliko andika
Sijawahi kuona wakichangiaMkuu hata kuchangia huwa hawachangii kwenye taarifa wanazoleta?
Mmh weye "wakili" ?!!😂😂Mimi apa