Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Hili jibu limemaliza maswaliMkuu set auto-reply hata kama simu imezima ukiqoutiwa inajireply. Dunia imehama.
NB: wengine usituone tunashinda humu tumeajiriwa humu humu..wake wetu wamo humuhumu.
Hii siri pia sikujuaWhen you use JF App, you're always online unless you log out.
Usishtuke mkuu
Umeoa humu kumbe......naanza kumuhisi mkeoMkuu set auto-reply hata kama simu imezima ukiqoutiwa inajireply. Dunia imehama.
NB: wengine usituone tunashinda humu tumeajiriwa humu humu..wake wetu wamo humuhumu.
Nimeoa mkuu.. usije ukamtaja tu utasababisha WWIIIUmeoa humu kumbe......naanza kumuhisi mkeo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] , Sawa ila unajitahidi sana kuwa Online [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Nimeoa mkuu.. usije ukamtaja tu utasababisha WWIII
Kwangu mimi naona hicho kialama cha kijani kwenye avatar ya mwanaJF najua yuko Online (yaani haja-sign out)Out of topic:nawezaje kujua mtu aliye offline/online hapa jukwaani?hilo tu wakuu
Itakuwa umepanga chumba kwenye jukwaa la makapuku mkuumbona hata mm nipogi on fire kila mda jf ni kilevi changu
hapana mm kule sipogi mana toka nijiunge jf sijawai anzisha Uzi wowoteItakuwa umepanga chumba kwenye jukwaa la makapuku mkuu
Hiyo unawafuata mod wanakuwekea[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Mnajuana ndege wenye rangi moja (auto reply naona kwetu sisi watumiaji wa APP ya JF haipo)
Duh..shukrani mkuu sijajuaga hii kitu aisee.Kwangu mimi naona hicho kialama cha kijani kwenye avatar ya mwanaJF najua yuko Online (yaani haja-sign out)
ww too muchMkuu set auto-reply hata kama simu imezima ukiqoutiwa inajireply. Dunia imehama.
NB: wengine usituone tunashinda humu tumeajiriwa humu humu..wake wetu wamo humuhumu.