Active Member JF

Active Member JF

Swahiba dunia imekuwa kijiji... [emoji16][emoji16]
Usingewashtua... si unajua kuna michuchu inajua mi ni mod?? Ningetumia advantage kuongeza wanachama... dah!
 
Huwezi amini Nilimpenda yule mtoto aliyeigiza kama raven hadi nikawa namuota. Sasa ulivyomtaja mutum wa sugar nikamkumbuka huyo raven
Ha haaaaa ila ni mzuri. Mutuma ni boonge la HB.[emoji4][emoji4][emoji4]
 
Yaani kama kwenye mitandao kama airtel hata kama haupo hewani

Mtu akikupigia unaambiwa mtumiaji wa simu unayempigia hapatikani kwasasa. That's auto-sound.

Kwahiyo hiyo ukiwekewa hata kama haupo online account yenyewe itaanzisha thread.. itajibu pm n.k

Angalizo: hii bado haijagunduliwa labda karne inayokuja.
Muone ushankata stim sentence yako ya mwisho[emoji51]
 
Back
Top Bottom