Active Member JF

Active Member JF

Yeah.. jamaa ni HB body lipo tabasamu he's gentle. Wakenya kwa rangi zao na lips I salute them.

Amesoma hapa tz tena hapo Tanganyika.
Yani I wish ajue nampenda.[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Kuna muda naweza kukosa muda wa kuingia humu ila sijawahi kukuta hawa viumbe wako Offline hapa JF.

Daby.
BAK.
Saint Ivuga.
Iceman 3D.
Miss Natafuta.
Mshana Jr.
Kisu cha Ngariba.

Nyie viumbe huwa mnamudu vipi kuwa online muda wote ?

Sijui kwa upande wako!
hahahaha
asee hebu andaeni tuzo bas tupewe watu wa online kila muda.
sema wengine ndio kazini hapa jf
 
Ahaa ok.. Ila hapo kwenye 'nakuona ngekechiioo'.. Nadhani ingesomeka' ngakuona ngekechiioo '... Hahahaa pamoja sana..!!
Ngawarima na iyooo, chaaaa, shindo shi kwafinda shekaandika shindo shiingi.

hahahahahahha wasungu weamba typo error.

thanks Mkuu
 
Ngoja niingie mgahawani kidogo nipate japo chakula, nikishiba nitacomment baadae
 
Back
Top Bottom