Active Member JF

Active Member JF

Kuna muda naweza kukosa muda wa kuingia humu ila sijawahi kukuta hawa viumbe wako Offline hapa JF.

Daby.
BAK.
Saint Ivuga.
Iceman 3D.
Miss Natafuta.
Mshana Jr.
Kisu cha Ngariba.

Nyie viumbe huwa mnamudu vipi kuwa online muda wote ?

Sijui kwa upande wako!
Yawezekana wameajiriwa na JF
 
Yaani kama kwenye mitandao kama airtel hata kama haupo hewani

Mtu akikupigia unaambiwa mtumiaji wa simu unayempigia hapatikani kwasasa. That's auto-sound.

Kwahiyo hiyo ukiwekewa hata kama haupo online account yenyewe itaanzisha thread.. itajibu pm n.k

Angalizo: hii bado haijagunduliwa labda karne inayokuja.
Bahati yako umekwepa..
 
Mkuu set auto-reply hata kama simu imezima ukiqoutiwa inajireply. Dunia imehama.

NB: wengine usituone tunashinda humu tumeajiriwa humu humu..wake wetu wamo humuhumu.
[emoji38] [emoji38] [emoji106]
 
Yaani kama kwenye mitandao kama airtel hata kama haupo hewani

Mtu akikupigia unaambiwa mtumiaji wa simu unayempigia hapatikani kwasasa. That's auto-sound.

Kwahiyo hiyo ukiwekewa hata kama haupo online account yenyewe itaanzisha thread.. itajibu pm n.k

Angalizo: hii bado haijagunduliwa labda karne inayokuja.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna muda naweza kukosa muda wa kuingia humu ila sijawahi kukuta hawa viumbe wako Offline hapa JF.

Daby.
BAK.
Saint Ivuga.
Iceman 3D.
Miss Natafuta.
Mshana Jr.
Kisu cha Ngariba.

Nyie viumbe huwa mnamudu vipi kuwa online muda wote ?

Sijui kwa upande wako!
wengine sawa ila huyu daby yuko hapa kutongoza tongoza tu
 
Hiyo unawafuata mod wanakuwekea
wewe jamaa ni hatariii yani umemtongoza kasie hadi kalainika... aisee wewe jamaa una fix za hali ya juu.
naongea na paw mod mmoja hivi akutangwe ban la maisha.
yule mdada nampenda kama nini..
 
Hahaha... shemeji yako yule ukikutana naye mpe heshima
 
Back
Top Bottom