Active Member JF

Active Member JF

Mkuu set auto-reply hata kama simu imezima ukiqoutiwa inajireply. Dunia imehama.


NB: wengine usituone tunashinda humu tumeajiriwa humu humu..wake wetu wamo humuhumu.
We masai mwenzangu hukosagi majibu
 
Tunajuana siku nyingi saana huyo...

Tulikuwa tunapendana sema kuna siku nikakosea kutype akanikimbia.
Ila mkuu wanakusema sana humu kuwa umekuja kwa kazi moja ya kuwatafuta hawa viumbe......nenda taratibu 300KPH (2 humps A head)
 
Back
Top Bottom