measkron
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 3,782
- 2,414
Kuna nyakati napata mashaka na uwezo wa kufikiri wa waheshimiwa wetu huko mjengoni...ni jambo lenye kutia shaka ni namna gani wanaweza kutunga muswada wa aina hii...muswada unaopingana na katiba ya nchi ambayo ndio sheria mama....labda wanatumia mihemko yao ya visasi na kukomoana....
Mkuu hawa waheshimiwa kwa kweli ukiendelea kufuatilia hizo ndioooo na sioooo utagundua uelewa wao ni wa utata sana ila angalia usiajepata depression ukiwaza hawa ndio wanaofanya maamuzi yahusuyo hii nchi