Kuna nyakati napata mashaka na uwezo wa kufikiri wa waheshimiwa wetu huko mjengoni...ni jambo lenye kutia shaka ni namna gani wanaweza kutunga muswada wa aina hii...muswada unaopingana na katiba ya nchi ambayo ndio sheria mama....labda wanatumia mihemko yao ya visasi na kukomoana....