2 of Amerikaz most wanted
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 1,328
- 3,718
Hizo mbona nyingi sana. Ulitaka apewe ngapi? Kumbuka alikuwa hajawahi kucheza movie yoyote. Kuna watu Hollywood huwa wanalipwa mpaka $ 5k. Alichotakiwa kufanya baada ya kuonekana ni kutafuta agent ili amtafutie fursa nyingine zaidi.Actor Barkhad Abdi only received $65,000 for his award - winning supporting role in the film captain Phillips.
After production he returned to selling mobile phones in his brother's shop.
View attachment 2884688
Aisee.Mbona kuna movie kazaa ametoa, fatilia
Zipi hizo? Nitajie.Mbona kuna movie kazaa ametoa, fatilia
kazaa - ❌Mbona kuna movie kazaa ametoa, fatilia
Bilionea kwa sasaBado anaendelea kushiriki movies na series mbalimbali.
List hii toka Wikipedia.
View attachment 2886924
View attachment 2886925
Ameshiriki pia kwenye Eye in the Sky, bonge la movie mombasa KenyaZipi hizo? Nitajie.
Ok. Aendelee na juhudi atapiga tu hela. Movie yako ya kwanza huwezi kulipwa sawa na Tom Cruise.Ameshiriki pia kwenye Eye in the Sky, bonge la movie mombasa Kenya