Actor Barkhad Abdi only received $65,000 for his award

Actor Barkhad Abdi only received $65,000 for his award

Jamaa wa the gods must be crazy alilamba dollar 300 afu ndo alikua sterling😃😃
 
Hizo mbona nyingi sana. Ulitaka apewe ngapi? Kumbuka alikuwa hajawahi kucheza movie yoyote. Kuna watu Hollywood huwa wanalipwa mpaka $ 5k. Alichotakiwa kufanya baada ya kuonekana ni kutafuta agent ili amtafutie fursa nyingine zaidi.
Mbona kacheza movie nyingi tuu
 
Back
Top Bottom