Actress wa X-Men Apocalypse, aliyefanana na Chemical

Actress wa X-Men Apocalypse, aliyefanana na Chemical

chemical-mary-.jpg Alexandra-Shipp-in-X-Men-Apocalypse.jpg
wamefanana jinsia tu
Hebu watizame vizuri mkuu, labda mimi macho yangu yananidanganya.
 
Huyu CHEMICAL kaimba nyimbo gani??
Ni nani hasa??
Anajishughulisha na nini??
Ana umaarufu gani hapa nchini
 
Huyu Actress aliyecheza movie ya X-Men: Apocalypse, namfananisha sana na Chemical yule mwanamuziki wa kikie wa Hipo hop wa bongo fleva.

Mcheza movie huyu wa Hollywood anajulikana kwa jina la Alexandra Shipp. Hebu tazameni picha zao hapo chini na muone kama hawajafanana.

No way macho yako hayaoni sawasawa
 
Back
Top Bottom