Kweli kabisaKafanana sana na Emeli Sande.......
No way macho yako hayaoni sawasawaHuyu Actress aliyecheza movie ya X-Men: Apocalypse, namfananisha sana na Chemical yule mwanamuziki wa kikie wa Hipo hop wa bongo fleva.
Mcheza movie huyu wa Hollywood anajulikana kwa jina la Alexandra Shipp. Hebu tazameni picha zao hapo chini na muone kama hawajafanana.
Basi thread yako ungeipeleka google,