Ada kwa shule za Msingi na Sekondari zimerejeshwa tena?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nimekuta mjadala mahali fulani kwamba wanafunzi wa Sekondari watapaswa kulipa tsh 60,000 na wale wa Msingi tsh 22,000

Naomba wanaojua ukweli wanijuze ili jamii iepushwe na upotoshwaji unaoendelea.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kwani ada ilishaondolewa?

Elimu bure ni ghali kuliko ya kulipia.

Kayumba skul zama hizi ni kupoteza muda, utasoma na utawarudia wazazi, hiyo ni elimu bure au ghali?

Kwa kuwa ni CCM hutanielewa
 
Ada ilishaondolewa bwashee!
 
60 000/22 000
Hii pesa ni kila mwezi au kwa mwaka
Hii pesa ni ndogo sana au kubwa sana 😃😃😃
 
Nimekuta mjadala mahali fulani kwamba wanafunzi wa Sekondari watapaswa kulipa tsh 60,000 na wale wa Msingi tsh 22,000

Naomba wanaojua ukweli wanijuze ili jamii iepushwe na upotoshwaji unaoendelea.

Maendeleo hayana vyama!
Yetu ni kusema tutamkumbuka.....
as days goes by huyu dingi mtamkumbuka mno mnooo
 
Nitamkubuka ndio.
Lakini kwa uchapa kazi na sio elimu bure, huo ni upotevu wa muda, elimu bure ni elimu bora na sio bora elimu. Elimu bure ni dhana, elimu bure ni siasa tu.
Siku zote elimu ni ghali kuliko chochote.
Elimu bure hasa ya dunia ya tatu haiwezi kuleta mapinduzi ya viwanda wala kilimo.
 
Afadhali ada irudi ili hela zetu wenyewe za NSSF na PSSSF zifanye kazi iliyokusudiwa
 
Hiyo Ni michango ambayo wazazi kwa umoja wao wanajadili nakukubaliana Ni kiasi gani watoe kulingana na mahitaji/Mambo ambayo wangependa yafanywe kwa watoto wao eg. kulipa mishahara ya wapishi, kuwapa hela ya sabuni volunteering teachers, kuongeza nyama/matunda kwenye menu ya watoto etc.
 
Nitamkubuka ndio.
Lakini kwa uchapa kazi na sio elimu bure, huo ni upotevu wa muda, elimu bure ni elimu bora na sio bora elimu. Elimu bure ni dhana, elimu bure ni siasa tu.
Siku zote elimu ni ghali kuliko chochote.
Elimu bure hasa ya dunia ya tatu haiwezi kuleta mapinduzi ya viwanda wala kilimo.
Ww pambana kwanza katiba ikae sawa sawia...
jukumu la elimu kuwa bora linapaswa kuwa la serekali.........
kama vile ambavyo jukumu la kupata maji masafi linapaswa kuwa la serekali
 
Kuna wakati huwa unakurupuka, hapa tinajadili unaanza kuleta ujinga wako kama kawaida
 
Wengi tu ama unaona wivu mithili ya mke mwenza

Cna tatizo na magu,,, amekufa na sasa 2ko na mama samia.

Mitume wa Mwenyezi Mungu wameondoka na ndio vipenzi wa Mwenyezi Mungu, sembuse Magufuli!!! Basi jichukuweni na gwajima wenu mkamfufue bwashee kama uwezo huo munao.
 
Nani alikwambia wafu hufufuka huku duniani kwa nyakati hizi ambazo sio za yesu
 
Back
Top Bottom